Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,268
- 101,732
Kaka ninachokiona kwa Arteta ni kocha ambae uwezo wake umegoma kukua.Msimu huu alijiandaa. Akasajili kwa nguvu.
Majeraha yamejitokeza tena.
Hata hivyo Arteta amekua obsessed na defense na control kiasi kwamba timu iko rigid.
Sehemu za kushuti au kucheza 1 2 unaona wachezaji wakirudisha mpira nyuma. Wengi tumepoint kwamba msimu wa 22/23 na 23/24 tulicheza mpira wa kila aina ila imekua ngumu siku hizi.
Jorginho, kama siyo AI, amesema aliondoka Arsenal ili akaenjoy mpira kwakua Arsenal kulikua na obsession ya set pieces.
Jana Arteta kasema haendi Etihad kutafuta suluhu, mwingine ambaye alikutana na Pep wiki iliyopita na hakufuata suluhu ni Liver akapasuka nne bila
Atawaambiaje wakati kucheza hivyo kijinga yeye ndio anawaelekeza.Mzee Henry anasema tunaonyesha kusita sana mbele ya goli hilo naungana naye. Sielewi kwanini Arteta hawaambii wachezaji tunatakiwa kucheza with urgency.
Na kama mnafuatulia takwimu lazima mtakua mmeona kuanzia mechi tatu za nyuma hata kuingiza mpira kwenye boksi la wapinzani imepungua ila sasa wao ndiyo wanaingia mara nyingi.
Takwimu zinatusakama na display ya tunachofanya inatusakama
Tukiacha ushabiki maandazi, arteta anafanya kazi nzuri mno ndo maana yupo hapo alipo.Kaka ninachokiona kwa Arteta ni kocha ambae uwezo wake umegoma kukua.
Ukiiangalia Arsenal inavyocheza unaiona ni timu inayopambana isifungwe kuliko yenyewe kufunga magoli.
Arsenal hata wakipata goli 1 utaona kabsa huwa wanacheza kulinda tu.
Arteta akili zake zote zipo kwenye kusajili mabeki kuliko washambuliaji.Hapa sioni kocha wa maana mbeleni tuendapo.
Sasa hivi ameshaanza kutafuta mabeki kuliko washambuliaji.
Ule upande wakina Trossard na Martinel kule panahitaji watu wapya kabsa wakukaa pale zile zote ni takataka ni kama uyoga hazitabiriki.
Upande wa Saka yule dogo Dowman ana kitu tatizo hana kocha tu ila angesaidia timu.
Pale kati juu ya kina Rice anaestahili kukaa pale ni Eze ile Ode ni takataka na Kai anatakiwa kupishana na Gyokeres ndio panamfaa zaidi pale.
Kai akitumika kwa usahihi basi anaenda kutufungia goli la muhimu sana kwenye mechi zijazo katika msimu huu.Iwe ligi kuu au klabu bingwa basi atakuwa hero tena siku hiyo.
Arteta ndio huwa anafanya watu wamtukane Kai sio kama Kai mbaya ila huwa anamuweka kwenye nafasi asiyoiweza.
Kifupi Arteta ni sawa na Arne Slot wa Liverpunga wale ni makocha wa timu kama Aston villa,Newcastle na timu za namna hiyo.
Mlivyojidai mnafungwa na City kisa Arsenal nilisema ni kwavile hamna uwezo siyo kwamba mna maamuzi.Leo lazima mlombwe
Atawaambiaje wakati kucheza hivyo kijinga yeye ndio anawaelekeza.Mzee Henry anasema tunaonyesha kusita sana mbele ya goli hilo naungana naye. Sielewi kwanini Arteta hawaambii wachezaji tunatakiwa kucheza with urgency.
Na kama mnafuatulia takwimu lazima mtakua mmeona kuanzia mechi tatu za nyuma hata kuingiza mpira kwenye boksi la wapinzani imepungua ila sasa wao ndiyo wanaingia mara nyingi.
Takwimu zinatusakama na display ya tunachofanya inatusakama
Timu inaenda mbele na kurudi nyuma hadi inakera yani. Arteta hana dawa ya timu inayokaa nyuma . Timu zote tunazochezaga nazo huwa zinakaa nyuma kuzifungua ni ngumu ndo maana timu inaamua kurudisha mpira nyuma tu labda watawafungua. Hatuna wachezaji wabunifu wakufungua timu zaidi Yakutegemea macross na mipira yakutenga.
Wapinzani wetu wanatufikia sana sabab tunaposhambulia tunatengeneza nafasi kubwa sana nyuma ambapo tukipoteza mpira wapinzani wanatumia zile nafasi kukimbilia kwetu kwa kasi, sasa hapo ndo utajua kina Saliba walivyowazito.
Yeah kuna kipindi ilikua hata tukiongozwa tuna uhakika wa kurudi.Atawaambiaje wakati kucheza hivyo kijinga yeye ndio anawaelekeza.
Huwezi kutegemea kudefend tu huku ushambuliaji ukiwa butu.
Huyu Gyokeres mimi naamini ni mfungaji mzuri sana ila tu amekuta litimu linacheza mpira wakipuuzi.
Ukiangalia Arsenal inavyocheza ni ngumu kuona katengenezewa nafasi za maana na akakosa ili tumlaumu.
Ndio maana hadi sasa hivi Gyokeres hauwezi kusikia hata mashabiki wakimlaumu hata wasioipenda Arsenal wanashindwa kumcheka maana hawana clip zakusindikizia masimamango yao.
Timu linacheza back passes kama nini sijui na kutegemea set pieces.
Kai alizomewa sana coz pia alikuwa akikosa goli nyingi za wazi coz timu ilikuwa inapiga soka safi lakusakama mpinzani.
Nyumbu,Chelsea ni mashahidi wazuri wa lile soka lakuupiga mwingi.
Nyumbu alisearchiwa hadi akatoa dakika za jioni.Ila sasa hivi ukifanikiwa kupata goli mbili against Arsenal basi umeshinda ukikaa nyuma.
Sisi tunakufunga ukituwekea ubingwa uwanjani 😂 hata Arsenyembo tuliwanyoosha 4:1 huko Baku baada ya kombe kuwa uwanjani.Mlivyojidai mnafungwa na City kisa Arsenal nilisema ni kwavile hamna uwezo siyo kwamba mna maamuzi.
Mechi nne hamjapata goli hata moja, maajabu ni kunakucha unapata nguvu kuleta kitambi uzi wa wanaume.
Ubingwa unaufikia kabla ya knockouts?Sisi tunakufunga ukituwekea ubingwa uwanjani 😂 hata Arsenyembo tuliwanyoosha 4:1 huko Baku baada ya kombe kuwa uwanjani.
Ila leo lazima mkazwe
Nyie mbona mnapambana sana ila mwisho wa siku mnaambulia tears 😂Ubingwa unaufikia kabla ya knockouts?
Hizi akili za Labyrinth.
Mbona sasa aliyelia ni Fofana na wenzake au wewe hua hauangalii mechi?Nyie mbona mnapambana sana ila mwisho wa siku mnaambulia tears 😂