Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Wewe tulia wanaume wa ukweli tunyenyue kombe hilo, sio liva kuku, chelkenge, au nyumbu kishunndu mwenye jeuri ya kutuvimbia.Bora kuwa mshamba wa bunyokwa kuliko kuwa an arsenal fan.
Hakuna ambacho hakijaletwa kutoka huko ulipotoka mtumbwi.
Naona ka 🔥 hapo. Arteta kabla ya game ya Sporting akawasha fire pale training ground kama motivation kwa wachezaji. Maana press conference alikua anakuambia kipigo Cha cherries kimewapa moto.Wewe tulia wanaume wa ukweli tunyenyue kombe hilo, sio liva kuku, chelkenge, au nyumbu kishunndu mwenye jeuri ya kutuvimbia.
Arsenal bingwa 🔥
tuko hatua ipi we muimba taarab wa bunyokwa sheli?Naona ka 🔥 hapo. Arteta kabla ya game ya Sporting akawasha fire pale training ground kama motivation kwa wachezaji. Maana press conference alikua anakuambia kipigo Cha cherries kimewapa moto.
Matokeo yakatoka Yale Yale 0:0 na back pass kama kawaida za kutosha. Hii game ndio imekua the worst QF ya UEFA , streaming imekua chini ya 5M . Nikakumbuka sijui false hoper gani alikuja anakuambia DSTV wamepandisha vifurushi kisa game ya Arsenal.
Hatuna kitu gani , kuna kipindi mlikua kwenye hatuna ya quadruple mpaka sasa mpo kwenye Double(double) mtafika mpaka kwenye hatuna ya nothing.tuko hatua ipi we muimba taarab wa bunyokwa sheli?
😂😂😂😂😂😂 Muone huyu false hoperBado game 13 tu. Kuna uwezekano ubingwa ukawa game ya 32.
we muimba taarab wa bunyokwa una vurugwa sana na arsenal, yaani uki lala arsenal, ukiamka arsenal.Hatuna kitu gani , kuna kipindi mlikua kwenye hatuna ya quadruple mpaka sasa mpo kwenye Double(double) mtafika mpaka kwenye hatuna ya nothing.
Ni suala la muda, why argue with arsenal fans while you can just wait.
Saivi nitakuwa siongei sana nitakuwa naleta flashback za false hopes kama hizi😄Tujiandae sasa kushinda taji la Kwanza la msimu Jumapili
Arsenal bingwa mpya wa eplSaivi nitakuwa siongei sana nitakuwa naleta flashback za false hopes kama hizi😄
Yule alikuwa kavimbewaaNaona ka 🔥 hapo. Arteta kabla ya game ya Sporting akawasha fire pale training ground kama motivation kwa wachezaji. Maana press conference alikua anakuambia kipigo Cha cherries kimewapa moto.
Matokeo yakatoka Yale Yale 0:0 na back pass kama kawaida za kutosha. Hii game ndio imekua the worst QF ya UEFA , streaming imekua chini ya 5M . Nikakumbuka sijui false hoper gani alikuja anakuambia DSTV wamepandisha vifurushi kisa game ya Arsenal.
Anaifatilia sana kulko team yakewe muimba taarab wa bunyokwa una vurugwa sana na arsenal, yaani uki lala arsenal, ukiamka arsenal.
Ila jua mwaka huu lazima tubebe kombe, na tuta kuijua hapo bunyokwa sheli tuku chape bakora
Hivi unajua kama leo timu yako inacheza?Kombe gani?? Unaanzaje kuongelea suala la kombe. Hizi Imani za arsenal kuchukua kombe mngehamishia kwenye dini mngekuwa mbali.
Yaani mpaka saivi Bado unaongelea kombe kweli false hopers hawataisha chini ya jua
Msimu huu alijiandaa. Akasajili kwa nguvu.Atakaeshinda game ya kesho ndio atakae beba ubingwa.
Siioni draw kesho.
Kwa akili ya Arteta atamrahisishia kazi ndugu yake kwa kupaki basi na kumtegemea jamaa Jova ambebe.
Hili kombe hata kama tutalibeba ila Arteta sio kocha wakumuamini ni kocha wa daraja la kati.Hakui kiuwezo.
Kwa msimu huu alipaswa awe hadi sasa hivi ana 80% yakubeba kombe lakini hadi sasa kombe ni 50% yakubeba na 50% nyingine anayo city.
Huu ni ufala.
Kesho hata sare sijui kama tutaokota kwa vile tunavyocheza. Kuna mchambuzi mmoja nilimsikia anasema kama Arsenal ataenda kupaki basi kumvizia City afanye makosa basi tutashuhudia kipigo kikali. Mechi ya Final iliniuma sana sijui tulikuwa tunavizia nini.Msimu huu alijiandaa. Akasajili kwa nguvu.
Majeraha yamejitokeza tena.
Hata hivyo Arteta amekua obsessed na defense na control kiasi kwamba timu iko rigid.
Sehemu za kushuti au kucheza 1 2 unaona wachezaji wakirudisha mpira nyuma. Wengi tumepoint kwamba msimu wa 22/23 na 23/24 tulicheza mpira wa kila aina ila imekua ngumu siku hizi.
Jorginho, kama siyo AI, amesema aliondoka Arsenal ili akaenjoy mpira kwakua Arsenal kulikua na obsession ya set pieces.
Jana Arteta kasema haendi Etihad kutafuta suluhu, mwingine ambaye alikutana na Pep wiki iliyopita na hakufuata suluhu ni Liver akapasuka nne bila
Mzee Henry anasema tunaonyesha kusita sana mbele ya goli hilo naungana naye. Sielewi kwanini Arteta hawaambii wachezaji tunatakiwa kucheza with urgency.Kesho hata sare sijui kama tutaokota kwa vile tunavyocheza. Kuna mchambuzi mmoja nilimsikia anasema kama Arsenal ataenda kupaki basi kumvizia City afanye makosa basi tutashuhudia kipigo kikali. Mechi ya Final iliniuma sana sijui tulikuwa tunavizia nini.
Timu inaenda mbele na kurudi nyuma hadi inakera yani. Arteta hana dawa ya timu inayokaa nyuma . Timu zote tunazochezaga nazo huwa zinakaa nyuma kuzifungua ni ngumu ndo maana timu inaamua kurudisha mpira nyuma tu labda watawafungua. Hatuna wachezaji wabunifu wakufungua timu zaidi Yakutegemea macross na mipira yakutenga.Mzee Henry anasema tunaonyesha kusita sana mbele ya goli hilo naungana naye. Sielewi kwanini Arteta hawaambii wachezaji tunatakiwa kucheza with urgency.
Na kama mnafuatulia takwimu lazima mtakua mmeona kuanzia mechi tatu za nyuma hata kuingiza mpira kwenye boksi la wapinzani imepungua ila sasa wao ndiyo wanaingia mara nyingi.
Takwimu zinatusakama na display ya tunachofanya inatusakama