Walivyokuwa hawana adabu kesho wataandika ARSENAL beat ten men Aston Villa
Man U Man C washampiga mtu tatu tatu, bad news!
Walivyokuwa hawana adabu kesho wataandika ARSENAL beat ten men Aston Villa
Nice victory..RAMSEY inabidi awe anakaa benchi, kwani Rosicky na Benayoun ni wazuri kushinda yeye.
AW sijui anakipangia nini tu...... Kinatakiwa kiwe sub ili kione wenzake wanachezaje.......
AW sijui anakipangia nini tu...... Kinatakiwa kiwe sub ili kione wenzake wanachezaje.......
Ye kweliTulihitaji tatu, tunazo tayari hizo points!
Mertesacker is man of the match, for me. Jamaa amekamua sana leo, hata lile goli huwezi kumlaumu yalikuwa ni makosa ya vermaelen.
A win is a win, f++k them if they think otherwise! We wanted it and we got it!!
Mie man of the match yangu leo kaichukua Koscienly.