Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta hamna kitu, huyu jamaa atupishe tu timu imekwama kabisa. Ni stubborn sana, analazimisha mfumo ambao haufanyi kazi. Kang'ng'ania kusajili Chelsea rejects kama Havertz na Madueke hamna walicholeta.

Arteta must go, na UCL tusahau kabisa tukikutana na barca au atlético nusu fainali hatupiti
 
Kawaida ukishabikia timu ndogo kama Nyukeso unakuwa na low expectations
 
Kawaida ukishabikia timu ndogo kama Nyukeso unakuwa na low expectations
Nimeanza kushabikia Newcastle tayari Nina carabao cup .
Ukubwa wa arsenal ni upi?? Nembu kwa unyenyekevu nielezee hata kidogo tu ukubwa wa arsenal?
Kuna high expectations na false hopes nyinyi hamna expectations zozote mna false hopes.
 
Ubingwa tutakaochukua mwaka huu utakuwa mzuri sana kwetu...

Maana mpaka siku ya mwisho
Haters watakuwa wanajipa moyo.
Watu kama nyie hata mpira Huwa hamuangaliii kabisa . Yaani mpaka saivi unawaza ubingwa😂

Man city anakufunga, game na westham utadondosha point na game na Fulham vile vile unadondosha point ,sasa siku ya mwisho ipi ?
Hivi mpira unaangalia kweli au ni ushabiki tu? Arsenal inavyocheza unaona na unakubali kabisa kwamba mnagombea ubingwa .
 
Arteta mpaka sasa mafanikio yake ni haya :
Kung'oa Ile saa ya Highbury
Kununua lile li mbwa nakuliita "win"
Kufunga maspeaker training ground
Kununua bulb nakuanza kuwasha 😂😂 na hii ya juzi ya pens .

Huyu kocha au tapeli wazee Mambo ya pen ,bulb, speaker mpaka mbwa hayajasaidiwa kitu na pesa zote za usajiliii. Hakuna kocha aliyepewa hela nyingi arsenal za usajili ama arteta
 
Tukamzuie City tuu pale Etihad maana ndio mpira Arteta anaouweza yeye kujilinda tuu!
Sasa kama mmeshindwa tu kumzuia Bournemouth nyumbani kwenu, kweli mtaweza kuwazuia kina O'Reilly nyumbani kwao?
Tetea Kiwigi jana baada ya kipigo alijitetea kua vita ya Marekani na Iran imepunguza sana molari ya wachezaji wake, hivyo msimu huu hata asipotwaa ubingwa asilaumiwe.
 
Watu wapo training ground wako busy kuangalia video za TikTok, halafu wanawaza ubingwa.
Hivi nyinyi kenge ubingwa mnauchukuliaje?

Sporting tupo nao jumatano walete raha kabisa makenge wachanganyikiwe .
Team kuanzia dakika ya kwanza inawaza kuzuia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…