King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,318
- 5,997
Wakishinda wanamuita RICE ila wakifungwa wanamuita MCHELENaskia huko Arsenyembo Kuna mchezaji anaitwa mchele π
Leo draw au ushindi wa chelkenge ni muhimu.Naskia huko Arsenyembo Kuna mchezaji anaitwa mchele π
Sisi chelkenge hatutaki ushindi wala draw, usitulazimisheLeo draw au ushindi wa chelkenge ni muhimu.
Natabiri ka siku ile, Chelsea win or draw.
Kwahiyo unajifariji kwa matokeo ya Newcastle?? Sisi hata tungeshinda au kufungwa Haina msaada hatuna tunachogombania .Kenge Labyrinth 84 anaifuatilia Arsenal kuliko anavyoifuatilia Nyukeso yake.
Ukute hata hajui kama wamepigwa huko na Palaceπ
Sio mara ya kwanza kulia lia, boya wee.Sisi chelkenge hatutaki win wala draw, msitulazimishe
Chelkenge tupo uwanjani sasa kufungwa na huna la kutufanya πSio mara ya kwanza kulia lia, boya wee.
Usimfananishe agent wetu wa man City na huyo mchele wenu, agent Wa city amefanya kazi nzuri sana leo kufunga goli la tatu πSielewi ni kivipi Chelsea hajaungana na Spurs kwenye relegation kule. Tukisema timu mbovu tunaanzns kuambiwa Caicedo mzuri kuliko Rice
Hii lazima iwe memes ya dunia nzima πArsenal inachekesha kama sio timu yako.
View attachment 3571564
Sawa mbege juniorUsimfananishe agent wetu wa man City na huyo mchele wenu, agent Wa city amefanya kazi nzuri sana leo kufunga goli la tatu π