Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nafikiri hii ni moja ya mechi tumecheza hovyo sana msimu huu...

Sidhani kama kuna muda tulipiga pasi hata 5 sahihi za kwenda mbele...timu ilikosa ideas za kucheza kabisa.

Game ya City sidhani kama tutashinda kwa hali hii...tupo down kwelikweli labda yatokee maajabu.
 
Ndio maana mnaitwa machizi nyie mashabiki wa hii timu...Yaani unashindwa kumfunga Southampton unataka umfunge Man City?
 
Baada ya Ile Sare na Wolves yaliongeleka maneno mengi Sana bt we redeemed ourselves by winning the two derbies kelele zikazima.

Here we go again.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyo ni kama tu wale mawinga wa kariakoo, ukimkuta kakaa kwenye kile kiti cha kuzunguka anavimba utafikiri kweli duka ni lake, ikifika muda wa kufunga hesabu lazima anyanyuke ampishe mwenye duka lake[emoji16][emoji16][emoji16]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…