Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,587
- 19,838
Sahihi , lazima kuna jambo behind....wachezaji zaidi ya 5 wote, wamejitoa kwenye national teamHizo ni figisu tu za board ya Arsenal zikiongozwa na Arteta mwenyewe.
Wacheza hawataki kupoteza nguvu kwa mechi zizizo na umuhimu,wameamua kurudi kambini kujiandaa kuchukua ubingwa.
Bora wewe akili kubwa. Kuna mjinga mmoja wa arse8 hapa anasema "...lakini mpira tumewachezea sana, yale magoli wametuvizia tu"Mie nilitoka mapema, huko mbele sijatizama, halftime tu nikaondoka nikijua hapa arsenal hatoboi.
Mjinga mwingine huyuNikweli ila tu focus na EPL ndio hata TH14 alichosema.
😂😂😂Worst performance.
Haiingii akilini kwamba Arsenal ili ashinde mechi ya FA dhidi ya Soton aliyeshuka daraja inabidi awe na kikosi kinachotarajiwa kushindana UCL.
Wachezaji kama vile wamekutana leo wazenge kabisa. Mi sijanunua TV ili nije kuangalia usenge kama huu