Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilidhan Eze anaumwa kumbe yule fala aliamua tu kumuacha nje.

Msimu huu tangu Eze afike ndio AM mwenye impact zaidi akicheza lile eneo kuliko wengine.

Kama aliamua kumuacha nje tu sio kwa majeruhi basi tuna kocha fala sana.

Na alivyo kilaza akipona Ode atamuweka nje Eze aende na Ode na Kai.

Tulipoteza points kiboya na timu ikawa haina uhakika wakupata mabao alipokuwa anampa dakika Ode na Eze kamuweka nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…