Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapo game ngumu ni huyo burnley. Technically tutakua tayari champions [emoji471]

Arsenal NDOOView attachment 3558089
🤣🤣🤣 Chawa naona umefufuka baada ya kuona kuna matumaini hewa ya kua mabingwa, ila nakuhakikishia hautaamini macho yako baada ya game ya mwisho na crystal palace.
 

Attachments

  • 1746865204876.jpg
    116.1 KB · Views: 20
Dimba linazimwa na Rice na Zubimendi.

Kuna kitu Arteta anaona kwa Eze ambacho binafsi sioni kwa kumchezesha AM naamini jamaa anatakiwa kua mbali na attackers kuliko kua karibu nao.

White anaanza leo.

Trossard yupo mbavuni na kati anazima Gyokeres.

Formation ni 4231
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…