Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumempiga Madrid, Inter, Bayern, PSG, Atletico anatokea mtu anakuambia hii timu haichezi mpira.

Lia ukimaliza sema
 
Msimu wa 22/23 tukiwa tumebakisha mechi 9 nafikiri na huku tumemuacha City points 7 ama 8 hivi kuna games tukapoteza zingine tukasuluhu.

Tulisuluhu 2 - 2 na Liverpool, tulisuluhu 2 - 2 na Westham halafu miongoni mwa waliotufunga ni Brighton. Walitupiga 3 - 0, City wakatunyoosha 4 - 1.

Sasa unadhani hapa focus ni entertaining football? Ni kuhakikisha points tatu zinakua secured hayo mengine ni yenu
 
Data Data Data.

Kila muda wanapotaka kutupaka matope, basi data huwa zinakuja kuwaumbua wenyewe baadae.

Last year, wakati IFAB wana-introduce ile sheria ya refa kuwapa timu pinzani kona kams kipa ata-hold mpira more than eight seconds, sky sports and co wakatumia picha ya Raya kwenye mitandao kutaka kulionyesha hili.

Opta walivyokuja na data, Raya was not even on top five katika makipa wanaokaa na mipira sana

Data zikawaumbua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…