Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Liverpool kakandwa jana, nyumbu ana lia lia wakati Newcastle ana red card huko.Wakandwe tu😅
Tutakuja hapa siku nyngnMzee kiparra Babu wa Mbaga Jr, Flano, IamMrLiverpool ana lialia vijana wakaze, zibaki point 2 😂😂
View attachment 3552606
Nataka ubingwa tukauchukue pale pale Etihad kwa baba lao wanayemsifu.Nikawa nasema yule mwizi tunampa energy ili tuendelee kumtesa. Mwizi alivyofurukuta kidogo wakaja kuniuliza wakidhani nabahatisha.
Sasa angalieni balaa kubababake
Arteta azingatie squad rotation, kwa zubi ampe nafasi norgad.Alama za Brighton tumezipata kwa mbinde Sana.
Hii mechi ilikuwa inanipa stress bora tumeondoka na ushindi hata kama tumecheza hovyo.
Ubingwa nauona pale
Na badoHivi siku fifa wakisema wanaondoa corner kicks nyie kenge mtakimbilia wapi.
Umeandika comment kiupole sana.Tutakuja hapa siku nyngn
Mnatia huruma. Hujaingia jukwaa lenu una muda gani?Hivi siku fifa wakisema wanaondoa corner kicks nyie kenge mtakimbilia wapi.
Kwa sasa EPL hakuna mechi rahisi kabisa. Usipokaza hadi Wolves anakuchapa, kila mtu anapambana ama asishuke daraja au aende michuano ya kimataifa.Westham vs City mechi ngumu kwa City maana Westham anataka kujinasua toka danger zone na leo kashinda na amaelingana na Notingham Forest