March 22 itakua fainali ya Carabao dhidi ya City. City are mad, watakuja kutupiga na gegenpress hawatopaki basi kama last time tumecheza nao.
Apparently hatuna kipa mbaya kwenye ishu za penati so wana watataka kumaliza hii kazi uwanjani. Tuna madhaifu ambayo mengi ni kutokua clinical kwenye finishing na kutoshuti wakati mpira unaambaa kwa lengo hilo.
Game ya jana ya Brighton magoli ya pande zote mbili yalitokana na utayari wa wachezaji kushuti and thats it.
Eze, Timber, Saka, Zubimendi wote walikua kwenye nafasi moja au mbili za kushuti ila wakaopt kua wapuuzi. Ambacho sielewi ni kocha anawaambia waignore shooting au kuna siri gani tusiyoijua?