Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game yakutupatia ubingwa ni sisi vs Man city.

Hii game hatupaswi kufungwa hata kama refa na Var watakuwa upande wao.

may be ila game 3 zijazo za ligi za city zitakuwa ngumu zaidi ,mahitaji ya alama kwa kila timu atazokutana nazo ni makubwa mno.
 
CF wa €90m unashangilia kabisa kufika goli 6?

Upo timamu?
🤣🤣🤣 Masingeli nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Arsenyau.
Midhali Masingeli tayari umeshatia timu humu, basi uhakika Arsenyau habebi kitu msimu huu.
Broo tunaomba utuchambulie tena zile mambo za Overlapping, Inverted midfild na overloading.
Ngoja na mimi nianze kuachia risiti zako moja moja, maana maktaba yangu imejaa risiti zako za miaka 3 nyuma ulivyokua unaendeleza false hopes zako kwenye hili jukwaa.
 
may be ila game 3 zijazo za ligi za city zitakuwa ngumu zaidi ,mahitaji ya alama kwa kila timu atazokutana nazo ni makubwa mno.
Tatizo city anajua kumalizia mbio ndefu

Huku upande wetu ndio tunajikanyaga.

Itakuwa aibu sana kwa Arteta akikosa kombe hili mbele ya hii city ya pangu pakavu.

Namuona Fabregas akipasha kwa mbaaaaali.
 
Bado mwizi anapewa energy drink wanetu ?
Nasema hivi ? Hizi games chache zilizobaki mtatema bungo......

Mnategemea mmakonde saka awape ubingwa? Eze mla milenda ? Rice Asojua hata kupiga pasi ? Mmepuyanga !

Uzuri Raya ameshuka kiwango ... tupo na tutakuwepo mpaka dkk za mwisho
 
Wewe jamaa ni fala sana🤣
 
Juve wameclear aggregate. Wana wamepambana ingawa wapo pungufu.

Wanaprove kwamba experience matters
 
Mara hii mtateseka sana na hizi ngojera zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…