Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hao kina Vini na Rodrygo wakija kwenye premier league wataflop vibaya sana
 
Hao kina Vini na Rodrygo wakija kwenye premier league wataflop vibaya sana
Tunamzungumzia mchezaji kwa wakati husika, hiyo wata, wata.. hatuna uhakika mzee.. kuflop kuna sababu nyingi, torres katoka liver kwenda chelse ni EPL kwa EPL sanchez kwenda Manchester kutoka arsenal...
Kwa sasa rodrygo na saka, mie nachukua rodrygo.
 
Mkuu,Bora Saka mara 20 kuliko huyo Rodrygo
Nenda kalinganishe statistics zao afu urudi hapa
 
Spurs alikua mpinzani mwepesi wamecheza ovyo,walikua Unga kwenye eneo la ulinzi wa defend ovyo sioni kama ilikua kipimo kwetu ila muhimu tuu mentality ya ushindi imerejea tena.

Kipimo chetu pale tutakapo kukutana na timu zinazokaba low block na zinazotumia nguvu ili tuone eneo letu la kiungo kwenye ubunifu kwenye final third limebadilika.
 
🤣🤣🤣 Kuna team imefunga magoli haya 40 na hayana assist halafu inataka kombe.
Kumbakumba FC mmetuharibia ligi yetu kenge nyie.
 

Attachments

  • 1771923597805.jpg
    85.1 KB · Views: 13
Game yakutupatia ubingwa ni sisi vs Man city.

Hii game hatupaswi kufungwa hata kama refa na Var watakuwa upande wao.
 
Lakini hao Spurs pamoja na ubovu wao ujue waliokota point 4 kwa City ambaye ndo mpinzani wetu wa karibu
 
Game yakutupatia ubingwa ni sisi vs Man city.

Hii game hatupaswi kufungwa hata kama refa na Var watakuwa upande wao.

may be ila game 3 zijazo za ligi za city zitakuwa ngumu zaidi ,mahitaji ya alama kwa kila timu atazokutana nazo ni makubwa mno.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…