Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Saka ni mzuri sana sema huu msimu amesumbuliwa Sana na majeraha.
Same to Martin Ødegaard
 
"Tatizo si Arteta, si wamiliki, si wachezaji, ni mashabiki wa Arsenal. Mnadanganyika."
- Patrice Evra

View attachment 3546796
Huyu mjinga baada ya kustaafu soka amekuwa irrelevant kwenye ulimwengu wa soka that's why ameamua kuongea pumba zake ili aonekane relevant.

Jinga kbsa and he honestly deserved what Luis Suarez did to him😏
 
Saka sio mbaya kihivyo mkuu ni vile huu msimu amesumbuliwa Sana na majeraha ndo maana viwango vyake vimeshuka
Same na Martin Ødegaard
 
Ile Sare dhidi ya Wolves ilisababisha kelele nyingi sana mitaani na mitandaoni kutoka kwa mahaters.

Arteta afanye tu kila awezalo angalau atupumzishe na hizi kelele
 
Saka sio mbaya kihivyo mkuu ni vile huu msimu amesumbuliwa Sana na majeraha ndo maana viwango vyake vimeshuka
Same na Martin Ødegaard
Sijasema saka mbaya, ila nimesema ni wa kawaida tu nikajiuliza saka vs lamine vs rodrygo, vs luis diaz vs vini... utaona saka humo mote hafui dafu.
Odegaard nae ni yale yale, mbaya zaidi kuna namna kama karidhika.. sehemu za kuachia mali wakati mwingine haachii.

Arsenal ni raya, timber, saliba, gabriel.. hawa popote wanacheza, ongeza na declan rice(mapafu ya mbwa) imeisha hiyo..
Kwa mbaaali eze
Kwa mbaaaaali tena g jesus
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…