Arsenal (The Gunners) | Special Thread

🤣🤣🤣 Dunia nzima imefurahi.
Kwa hizi mechi zilizobaki hakuna shabiki wa timu yoyote zaidi ya Arsenyau atakae sikitika timu yake ikifungwa na Mancity.
Eeehhh Mungu tunakuomba uendelee kumimina baraka zako kwa hawa vijana wa Pep Guardiola.
 

Attachments

  • 20260213_125243.jpg
    65.2 KB · Views: 6
Tukubali tukatae ndugu zangu wa Arsenal timu yetu ina hali ngumu sana kwa sasa. Presha ni kubwa sana nje na ndani ya uwanja. Mpaka sasa timu yetu imetupa kila sababu ya kuikatia tamaa.

Game ya leo ni ngumu mno, kwanza ni Derby, pili mpinzani anapambana kubaki ligi kuu. Arteta asipotuliza kichwa yake kwenye kupanga kikosi ndio atazidisha ugumu zaidi.

Endapo tutapata point 3 basi game ya kuturudisha kwenye matumaini ni ya Man city.
 
Uhuni wa kufosi Arsenal acheze Jumatano ili City awe na game mkononi ndiyo alifanyiwa Liverpool na ndiyo Arsenal tunafanyiwa mara ya pili
 
Uhuni wa kufosi Arsenal acheze Jumatano ili City awe na game mkononi ndiyo alifanyiwa Liverpool na ndiyo Arsenal tunafanyiwa mara ya pili
Sidhani kama hiyo ndio sababu ya kujitetea timu ikifanya vibaya.
Ratiba ya EPL huwa inatoka mapema sana na hakuna namna nyingine zaidi ya kufuatisha ratiba. Wale wachezaji kazi yao ni kucheza na wanalipwa kwa ajili hiyo wacheze, kuwa timu kubwa sio jambo jepesi ni muhimu sana management kuwekeza kwenye kikosi kuendana na michuano inayoshiriki.
 
Miezi miwili iliyopita City ilikua imeachwa points 2 na Arsenal. Watu wakatabiri muda umefika.

Yaliyotokea yakatokea.

Sasa hivi city kaachwa tena points 2.

Mashabiki? Hasira zimetushika.

Wapinzani? Wanaongea nonstop. Kama walivyoongea mwanzo.

Observe
 
Correct insight.

Let's see
 
🤣🤣🤣Wachezaji wa Man City ligi inapoelekea ukingoni hua kama vile wamepaka mkongo, wakati wachezaji wa Arsenyau muda huo wanakua kama wale wadada wanaocheza baikoko, yaani ni mwendo wa kuimwaga miuno tu huku wanamwagiwa ndoo za maji.
Ndio maana wadau humu wanatumia ile code ya "Arsenyo ndoo" kumbe wanamaanisha wacheza baikoko lazima wamwagiwe ndoo za maji.

#Arsenyo ndoo
 

Attachments

  • 1710748027241.jpg
    105.4 KB · Views: 5
Bwashee mbona manjesta kama tunalitaka kombe🥲
 
Ladies and gentlemen
Nyumbuz and kenge

Leo ndio tunaanza ligi rasmi

View attachment 3547223
Ligi gani inaanza February.
Binafsi naona mna nafasi ya kuchukua lkn lazima kuanzia leo Kila mechi mcheze kama final.
La muhimu, arteta mwambieni achague nini anakitaka zaidi kati ya EPL au UCL.
Hamna kikosi cha kuchukua yote UCL na EPL.
Chagueni Moja afu Kila mechi yake muicheze kama final.
Mtaka yote Kwa pupa hukosa yote.

Chagueni EPL, then UCL mfanye sacrifice ya EPL.
Mkifanya hivi nyie mwaka huu lzm mbebe
 
🤣🤣🤣 Hakuna timu ya kuchukua kombe hapa, nakumbuka misimu mitatu nyuma kipindi hicho Masingeli bado hajakimbia jukwaa mimi nilikua nawaambia tatizo la arsenyau ni mentality, kuanzia mashabiki, wachezaji mpaka kocha wao wana mentality za mid table team, hawa hata leo hii uwape points 20 za ziada na bado ubingwa wanaweza wasichukue.
 

Attachments

  • 1713703836843.jpg
    120.6 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…