Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiyo ni pressure within the squad, yaani wanaitengeneza wenyewe. Na hiyo ndio itatumaliza, wala sio pressure ya nje.

Nimesoma maoni ya pundits, kila mmoja anaongelea NERVES, PRESSURE, LACK OF MATURITY, NAMNA YA KUMALIZA MSIMU. Hatuna uzoefu kama City, kocha nae hana huo uzoefu wa kupambana mwisho wa msimu ili tubebe makombe. In the end tumeongoza almost msimu wote na wanabeba ndoo mwishoni kabisa.
 
Chama letu linacheza kiquomer sana siku hizi. Me ndo mana hata game zetu siangalii. Wanatutia hasira tu
 
Acha kumsumbua Sir God kwa mambo ya kipuuzi
 
Hiv hii interview ni ya kweli ?Hazard , John Terry na Ivanovic wanaulizwa club gani kubwa duniani. Terry akajibu Barcelona or Real madrid.
Ivanovic akasema ARSENAL , Terry na Harzad wakaanguka kicheko kikali sanaa.
 
Inasemekana kuna kamgogoro ka ubaguz warangi so wachezaji wameamua kufanya yao kimtindo ila wameshazungumza next shuhudien kipigo kwa tottenham
 
Hiv hii interview ni ya kweli ?Hazard , John Terry na Ivanovic wanaulizwa club gani kubwa duniani. Terry akajibu Barcelona or Real madrid.
Ivanovic akasema ARSENAL , Terry na Harzad wakaanguka kicheko kikali sanaa.
Ya zamani sana hiyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…