Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal bingwa
 
Sijashangaa kupoteza point kwenye mechi ambazo pengine mlionekana favourites

Vs Utd mbovu mlikandwa hapo kwenu
Vs Brentford mnacheza mashudu tupu
Vs Wolves waliojiozea mmepoteza points .... sio tu kupoteza points, mnacheza mashudu matupu..... hii ndio mid tuliyoambia imesheheni WC players ? Hawa wakina Rice, Zumimendi, Odegaard? Eze ? Mid ambayo hata kukontrol tempo ya mchezo tu ni shida?

Mna imani na Arteta atawafikisha nchi ya ahadi ? Zimebaki points ngapi nyie na Pep ? Nilishasema hapa na narudia tena, hii ndo mida Ya Pep, hacheki na kima !

Kuna haja ya kumjadili Raya.... huyu akiendelea na hii form hata timu ya taifa world Cup atawekwa kando !!!

Ngoja niongeze Popcorn 🍿, ligi ndo imeanza
 
Huwajui vizuri Aser8 fans wewe, akili zao zinawatosha wenyewe...

Hawana tofauti na Ke wanaojifungua watoto kwa uchungu na kujiapiza hawatazaa tena, baada ya muda tena wana vibendi πŸ˜‚
 
Kabla ya mechi 2 za mwisho Arse8 kucheza nilibishana sana na Pimbi moja la Arsenal FC likidai mwaka wao huu watabeba vikombe vinne kwa mkupuo..."UEFA champions league, EPL, FA na Carabao" 😁

Alidai hakuna timu yoyote Ulaya iliyo bora zaidi ya Arse8, nilimueleza muda ndiyo Mwalimu sahihi kuthibitisha kauli yake.

Hatimaye tayari upepo unapuliza mkia wa kuku na wanaonekana jinsi gani wanapotolea taka mwili panavyofanana πŸ€—
 
Ni mechi nyingi tu mnaonekana mnapoteza point
Huwajui vizuri Aser8 fans wewe, akili zao zinawatosha wenyewe...

Hawana tofauti na Ke wanaojifungua watoto kwa uchungu na kujiapiza hawatazaa tena, baada ya muda tena wana vibendi πŸ˜‚
Gape ni dogo sana, pia wana fixtures ngumu zinakuja.... presha ipo kwao, kudondosha Points ni lazima hawana namna !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…