Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona mashabiki wa Chelsea wanamtupia lawama Caicedo kwamba amesababisha penati na tackling yake ya kimama.

Ila wakiwa wanasema Caicedo ni world class midfielder wanasema ana tackles nyingi kuliko midfielders wengine.
 
Pep anakuambia goli lingeachwa halafu Szoboszlai asigewe red.

Tangu wiki iliyopita Pep yupo kwenye mood ya kwenda kinyume na sheria tu.

Alichofanya Szoboszlai ni kumvuta fulana mchezaji aliyekua anatakiwa kwenda kuscore hii ni faulo ya Denial Of Goal Scoring Opportunity (DOGSO) iwe isiwe hua inakua red.

Ila Pep anasema red isingetoka goli liachwe halafu wawe wameshinda 3. In a bigger picture ni kwamba in a long run hili goli moja linaweza saidia ikifika siku points zipo tied mnabaki kutumia magoli kutafuta mshindi.

Not today Mister
Na hata katika hio faulo, huyo haaland mwishoni pale alimvuta szobo akadondoka akashindwa kuzuia goli lisiingie so refarii akaamua kudeal na faulo kwanza kbs aliyocheza szobo na kumpa red, so goli linakuwa haliwezi kusimama, lakini mihemko mingi kuanzia wachambuzi,kocha pep nk
 
Wameanza kutubu hadharani
Screenshot_20260211-150038~2.jpg
 
Timu inacheza Feb 1.

Inakuja kucheza Feb 7.

Ikapumzika siku 6. Ikashinda.

Ikacheza Feb 10.

Ikapumzika saa 72. Ikasuluhu.

This means ingekuepo next game ya kupumzika saa 72 hii timu inapasuka.

Sasa timu zingine kila baada ya saa 72 mechi na matokeo yana consistency ile ile. Maji na mafuta lazima yajitenge
 
dah hatar
 
Kwahiyo jana hamkulala mkidhani MAN SHIT atadrop points??

Mzee hizi game 12 za MAN SHIT hakuna boya atapita salama, mkishindwa kushikilia bomba baaasi Mmekwishaa... Muulizeni KLOPP anamjua vizuri kipara kwenye hizi kazi.
 
Inapaswa tu direct kweli kweli, Tokea Saka na Odegaard wawe nje ya uwanja kwa majeruhi ndio Arsenal imefanikiwa kumtumia vizuri Gyokeres.

Bahati mbaya Kai ameumia sijajua approach ya kocha itakuwaje ila mfumo wa 4-2-3-1 umekua mzuri zaidi mashambulizi yapitie kati na tuwe na uwezo wa kupiga mashuti nje ya boksi.

Hakuna nafasi ya makosa tena, tukipoteza point hata moja leo tusahau ubingwa. Na akifeli msimu huu sioni tena uwezo wa kubeba EPL msimu ujao maana timu zote zitafanya rebuilding.

It's a now-or-never situation, up the gunners!!
 
Wanasema kila mtu ashinde mechi zake ila kutwa wanaiombea City kupoteza michezo
 
Ninachotaka ni tushinde kwa kustruggle.

Tushinde kwa magoli ya own goals.

Tushinde kwa kona.

Ugly victories.

Sura mbaya.

Ili waendelee kuamini tutataanguka muda si mkubwa.

Nataka machozi na malalamiko.

Nataka kuona mashabiki wa timu pinzani wakibishana wenyewe kwa wenyewe.

NAtaka kuona maoni ya kijinga juu ya uwezo wa timu yakitawala.

Hizi ndizo zinasababisha niamke na kuingia JF
 
Tukienda kwa uhalisia wa mambo tambo za ubingwa kwenu hazitokani na ubora wenu msimu huu ila form mbaya ya timu pinzani hasa City. Sasa City kaamka mmeanza kuingiwa uoga wenyewe.
 
Sasa hivi hausikii wakisema ligi ni mbovu.

Focus ipo kwa jinsi gani City anakaribia kucover gap.

KUna kitu kitatokea hapa.

Watarudi kusema ligi ni mbovu
 
Tukienda kwa uhalisia wa mambo tambo za ubingwa kwenu hazitokani na ubora wenu msimu huu ila form mbaya ya timu pinzani hasa City. Sasa City kaamka mmeanza kuingiwa uoga wenyewe.
Comments za hivi ndiyo nilizomaanisha
 
Inapaswa tu direct kweli kweli, Tokea Saka na Odegaard wawe nje ya uwanja kwa majeruhi ndio Arsenal imefanikiwa kumtumia vizuri Gyokeres.

Bahati mbaya Kai ameumia sijajua approach ya kocha itakuwaje ila mfumo wa 4-2-3-1 umekua mzuri zaidi mashambulizi yapitie kati na tuwe na uwezo wa kupiga mashuti nje ya boksi.

Hakuna nafasi ya makosa tena, tukipoteza point hata moja leo tusahau ubingwa. Na akifeli msimu huu sioni tena uwezo wa kubeba EPL msimu ujao maana timu zote zitafanya rebuilding.

It's a now-or-never situation, up the gunners!!
🤣🤣🤣 Kama kawaida yenu wazee wa kutetemeka kila msimu ligi inapokua inaelekea ukingoni.
Na leo naona kuna kila dalili Brentford anaenda kuwatetemesha.
Nawakumbusha msimu huu mpaka hivi sasa Arsenyau ameongoza ligi kwa siku 237, zimebaki mechi 12 tu kumaliza ligi Arsenyau anaenda kutema bungo.
 
Attachments

  • 1710748027241.jpg
    1710748027241.jpg
    105.3 KB · Views: 12
Leo Saliba hayupo nafasi yake itachukuliwa na Mosquera.

Hincapie ataanza.

Trossard yuko fit

Odegaard na Saka watakuepo benchi
 
As reported

Brentford wamekuja na 4 2 3 1 Arsenal tumestick na hii formation pia.

Hii formation ndiyo imewaweka karibu Kai na Victor na kwa sasa Kai ni majeruhi option aliyoona boss ni kubaki na formation.

Ikiclick itamaanisha changamoto siyo watu ila ni mfumo. Hata hivyo natarajia struggles kwa Eze kukaba, double pivot ya Rice na Zubimendi itasaidia kumpa msaada wa ulinzi Eze.

Mengine tusubiri show ianze
 
Back
Top Bottom