Nyumbu naona mmeanza kunenepa kwa kushinda vimechi vitatu tu.π€£π€£π€£ Waazee wa nafasi ya pili, hata kwenye Karagabaho cup wataishia kwenye nafasi ya pili.
Hii timu ni Laana Fc.
Utajua tuukwa hii man city ama nyingine??
π€£π€£π€£ Premier league bottling of all time, na Karagabaho mnaenda kuchukua nafasi yenu ya pili.Nyumbu naona mmeanza kunenepa kwa kushinda vimechi vitatu tu.
Tunachukua muda sio mrefu mtarudi kwenye default settings za kupokea vipigo.
Ni suala la muda tu
Anha tulia msimu huu tumefungwa mech 5 tuNyumbu naona mmeanza kunenepa kwa kushinda vimechi vitatu tu.
Tunachukua muda sio mrefu mtarudi kwenye default settings za kupokea vipigo.
Ni suala la muda tu
Sie kupigwa labda tupigwe pichaπNyumbu naona mmeanza kunenepa kwa kushinda vimechi vitatu tu.
Tunachukua muda sio mrefu mtarudi kwenye default settings za kupokea vipigo.
Ni suala la muda tu
Tottenham will humble you guysSie kupigwa labda tupigwe pichaπ
Ukute hata Labyrinth 84 alikuwa hajui kama walikuwa na mechi na wakala kipondoWho cares kwamba Newcastle ametolewa jana?
Waarabu walipochukua team akakimbilia huko akadhani watakuwa wanashinda mataji kila msimu kumbe napo patupu TuπUkute hata Labyrinth 84 alikuwa hajui kama walikuwa na mechi na wakala kipondo
Hakuna mchezaji wa maana atakaa Newcastle kwa sasa chini ya vision ya mtu kama Howe. Wengi wanaenda pale kutafuta platform ya kuonekana.Waarabu walipochukua team akakimbilia huko akadhani watakuwa wanashinda mataji kila msimu kumbe napo patupu Tuπ
Juzi nilimuona akilalamika eti sheria za financial play ndo zimewabana kwenye kusajali wachezaji wa maana
Usiseme hivyo mzee, Man Utd nayo mlisema hivyohivyo,Arsenal akafa pale pale nyumbani kwake, na Chelsea hamjamalizana nae kwenye Epl 2nd Leg mtacheza nae Tena Machi 1 Emirates.Sasa hawa Chelsea, inabidi tukatae kucheza nao, hawana ushindani. Michezo kumi hamjashinda hata moja!!!!!
United alishinda ila leo tukimaliza kucheza na Sunderland na kesho tukaambiwa tunacheza na United bado hata wewe utaamini Arsenal atashindaUsiseme hivyo mzee, Man Utd nayo mlisema hivyohivyo,Arsenal akafa pale pale nyumbani kwake, na Chelsea hamjamalizana nae kwenye Epl 2nd Leg mtacheza nae Tena Machi 1 Emirates.