Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyo Liam hakuna kitu pale sidhani kama atakuwa na muda mrefu pale darajani

Team selection yake ni very poor
 
Arsenal inaongoza kutoka first leg.

Second leg Chelsea anaamua kupaki basi.

Wachambuzi wanakuambia Liam kamuweza Arteta.

Unagundua sasa hivi siyo uchizi ni chuki pia inachangia watu kuongea utumbo bila kuona aibu.
 
Wenyewe walikua wameridhika game ibaki suluhu. Ili waonekane wamepambana.

Punda kadhaa walikua wamejiandaa kuja kupiga kelele kwenye huu uzi.

Sasa hivi huwaoni wakikatiza.

Wanasubiri waje kushangilia suluhu.

Ukisema hii timu ina standards za juu kiasi kwamba hata kutoa suluhu ni dhambi wanakasirika.

Wazenge
 
Game ya kwanza ya Liam ilikua dhidi ya Arsenal kwenye Carabao akapanga kikosi cha kutaka kubishana akapasuka.

Mashabiki wakawa hawahesabu hii mechi wakidai alikua hajasettle vizuri so wao wanahesabu Liam hajapoteza kechi tangu afike.

Jana Liam akaamua apaki basi ili aendelee kusemwa hajapoteza kechi tangu afike.

Amepasuka. In less than three weeks Liam kafa mara mbili
 
Naiangalia Sunderland hapa itoshe kusema tusipobadilika hawa watatusumbua
Tusipo badilika na magoli yetu ya kihuni huni, open play iwe ndio plan A
Set pieces just incase plan A imekua ngumu

Nilikuambia mzee
 
Kinachowakumba Newcastle ni ambacho kingewakuta Chelsea mapema asubuhi kama wangejifanya wanataka kurudisha magoli.

Wakaamua kuchelewesha adhabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…