Na yupo nafasi ya kwanza kwa 7 points. Fergie hakucheza possession football na alichukua makombe mia kidogo, mourinho alicheza very boring games, defensive(parking the bus) football na anaitwa the special one.Arsenal Ni ya pili Kwa ufungaji magoli Epl 46 nyuma ya mancity47, ya3 Man Yuu41, na Kwa kufungwa magoli machache ni arsenal, akifuatiwa na Mancity.
Kwamba mourinho alicheza boring games alipofika pale chelsea? Huo mpira umehadithiwa itakua. Chelsea ya wanaume kina makelele ,gudjohson, cole , duffy , kezman na drogba unataka kuifananisha na hawa wasambaa wa arteta kina timber?Na yupo nafasi ya kwanza kwa 7 points. Fergie hakucheza possession football na alichukua makombe mia kidogo, mourinho alicheza very boring games, defensive(parking the bus) football na anaitwa the special one.
It's time we win trophies, hizo sexy football tutacheza tu, "wenger ball" has no chance in winning silverware.
Kama ni rahisi nawewe funga,Kwamba mourinho alicheza boring games alipofika pale chelsea? Huo mpira umehadithiwa itakua. Chelsea ya wanaume kina makelele ,gudjohson, cole , duffy , kezman na drogba unataka kuifananisha na hawa wasambaa wa arteta kina timber?
Mourinho hakucheza boring games mmoja ya chelsea iliyokua inatisha ni ile unakutana na wanaume haswa nakumbuka barca alichezea goli 4 bayern kala 4 unataka kuifananisha na nyinyi kufunga mpaka corner kicks.
Story kama hizi utazipata kijiwe cha draft Kurasini.Mashabiki msichokijua ni kuwa Stan Kroenke ana kipengele katika mkataba wake na muuzaji wa klabu kuwa ikitokea arsenal anachukua ubingwa wa EPL au UCL, basi atalipa mabilioni ya pesa kwa muuzaji.
You know what I mean, don't you?
Kila mmoja anajua hambebi chochote msimu huu.Kama ni rahisi nawewe funga,
Liverpool alikaa miaka mingapi vile?, oops nabishana na kyandeKila mmoja anajua hambebi chochote msimu huu.
Ndoo ya machozi kwa team kama arsenal kweli? Miaka 22 with 0 EPL
Nani anajulikana kwa kupaki bus, uliangalia fainali ya Inter vs Barca ? Ni namna gani Mou alibeba lile kombe? Alicheza attractive football? Fegerson alivyomfunga Bayern dakika za mwisho alicheza attractive game?Kwamba mourinho alicheza boring games alipofika pale chelsea? Huo mpira umehadithiwa itakua. Chelsea ya wanaume kina makelele ,gudjohson, cole , duffy , kezman na drogba unataka kuifananisha na hawa wasambaa wa arteta kina timber?
Mourinho hakucheza boring games mmoja ya chelsea iliyokua inatisha ni ile unakutana na wanaume haswa nakumbuka barca alichezea goli 4 bayern kala 4 unataka kuifananisha na nyinyi kufunga mpaka corner kicks.
Paragraph ya mwisho ni ukweli mtupyTimu inayoongoza kwa magoli ya set pieces ni Arsenal ikifuatiwa na Chelsea. Arsenal ni ya kwanza ikiwa imeiacha Chelsea kwa points 10+
Nimekuta online pages za michezo zinaweka orodha ya waliofunga magoli mengi Arsenal na katika orodha wameweka namba 2 ni Own Goals.
So sasa hivi Arsenal tunalaumiwa kwamba tunafunga kwa set pieces na timu pinzani zinajifunga.
Kuna timu hua inapata kona halafu inapiga kona kwa kujifurahisha? Yaani lengo siyo kuscore? Kisha unalaumu Arsenal kuscore kwa kona. Jana Deeney akasema Arsenal isipochukua kombe mashabiki wanatakiwa kubeba lawama pia.
Hoja yake ni kwamba Mashabiki wa Arsenal tuna tabia ya kusubiri kitu kiende hovyo halafu tuanze kulaumu. Hatuwezi kuangalia picha kubwa na tuna haraka kujifanya tacticians.
Ni kweli miaka 22 with 0 Epl, na ni kweli pia kuwa hata nyie mmeshaianza hiyo safari ya miaka kibao Bila Epl mdogo mdogo. Maana siwaoni mkichukua hiyo ndoo Hivi karibuni. 😃Kila mmoja anajua hambebi chochote msimu huu.
Ndoo ya machozi kwa team kama arsenal kweli? Miaka 22 with 0 EPL
Wewe Nyukesto yako ikipigwa huwa unakuja humu kumanage stress zako kwa kuandika vijembe visivyo na mashikoKila mmoja anajua hambebi chochote msimu huu.
Ndoo ya machozi kwa team kama arsenal kweli? Miaka 22 with 0 EPL
Arsenal bana yaani unatoka kabisa unasema Liverpool alikaa miaka mingap? Wakati Liverpool kachukua UEFA hapo katikati kibao na fainali kacheza nyingi.Liverpool alikaa miaka mingapi vile?, oops nabishana na kyande
Huyu kenge Labyrinth 84 hata hawezi kumbuka ni lini mara ya mwisho Nyukesto waliwahi kuwa tittle contender achilia mbali kubeba ila utamkuta humu ameshupaza shingo kutwa kucha kuikandia Arsenal.Kwanini watu imani ya kwamba ligi itanyanyuliwa ni kubwa? Ni kwakua misimu ya nyuma yote ilikua ikifika January na April kikosi kinaanza kua finyu.
Inashindikana kufocus na tournaments zingine mnaamua kufocus na ligi ila ligi ni long shot. It takes time.
Lakini angalia mechi ya jana dhidi ya Leeds na sub zilizofanywa na waliobaki benchi, Leeds kapoteza game moja kati ya 11, amewafunga na kusuluhu wanaojiona timu kubwa. Pale nyumbani kwake hajapoteza mchezo katika michezo mitano aliyocheza.
Shearer, goal scorer wa Newcastle, akasema defense inaweza kutubeba pale Elland road ila anaamini atmosphere itatutingisha. Arsenal ikaenda na kupata goli nne na points tatu.
Tusi kwa watu wa darajani waliothubutu kumfananisha Raya Arsenal ikatoka na clean sheet ya 12.
Kisha baadaye Newcastle ikacheza, ikafungwa 4. Shearer hatujui kaingilia wapi, shabiki pekee wa Newcastle ninayemjua JF anakuja kunung'unika juu ya Arsenal, kwakua ni mnafiki unajua kabisa kwamba huyu hata hajui kama timu yake ipo karibu kushuka daraja kuliko kuingia top four.
Yeye na Shearer wote wapo kapu moja isipokua mwingine ni mzungu so anajaribu kutumia akili ila huyu black people wetu yeye hata hajui kama jana wamepigwa goli la set piece na Liverpool.
Alikuwa anazunguzia EPL na sio mataji mengine.Arsenal bana yaani unatoka kabisa unasema Liverpool alikaa miaka mingap? Wakati Liverpool kachukua UEFA hapo katikati kibao na fainali kacheza nyingi.