Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kabisa, eneo lile unaachaje cunha ana drible hadi anapiga. Hakunantracking wala quick blocking
Sasa si uliona Man you hawakupi kabisa nafasi yakusogelea lango lao au kulitazama ukachagua angle yakupiga zaidi utapiga pass za pembeni na macross yanayoishia kubabatiza tu.Arsenal huwa yuko wazi sana akishambuliwa, kinachotubeba kidogo ni kwamba na sisi tunapata magoli ila tukipata timu inacheza aina hii ya mpira ni sare na kufungwa.
Hii game wamecheza Liverpool pia tuaambulia sare
 
Kuna kipindi tulisema adui wa Arsenal ni Ars
Mlevi huyo, anaongeaga vitu visivyoonekana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe akishalewa ndo huwa anakuja kutuambia mambo ya standard za shot on targets huwa ananifurahisha mpaka nawaza hivi hawa arsenal fans huwa wanaishi dunia ipi?
Kuna mmoja huyo ile game ya kwanza na PSG ilivyoisha kesho yake ananiambia ameota wamempiga PSG goli 2 halafu anaongea kwa uhakika sana
 
Wewe hii false hopes mbona ya mbaliii hivi ubaguzi wa africa unaingiaje kwenye kipigo cha leo , tafuta false hopes nyingine hii nimeikataa
Game ya leo haina sababu ya kushinda, ukitizama topic za nyuma utaona nini nilisema, game ya leo inaonesha uhalisia wa tatizo
Eze Hana sababu ya kuwa bench, Partey hakuna sababu ya kumuacha aondoke Zubimendi hawezi kucopy work rate ya UK as starter
Niliwahi kusema Arteta Hana tactics za ushindi na anapenda kuweka wachezaji laini
Tuliambiwa Edu karudi Brazil kapata offer kubwa lakini tunamuona yupo UK
Lazima kuna tatizo Arsenal ambalo halisemwi nje ya management
Itapelekea kukosa wachezaji wa maana
Tot wanasema Eze atakosa World Cup kwa uzembe wa Arteta

Tatizo la Arsenal ni coaching staff na management
Hakuna plan B
 
Hii false hope yako ya kusoma aya ya kwanza nimeipenda, hizi ni baadhi ya false hopes za baadhi yenu nitakua naziquotes mpaka May
FALSE HOPES GIVER
β€œsoma aya ya kwanza” Mkorea
β€œMchawi wa arsenal ni arsena β€œ Castr
β€œ zero short on target standard”. cas
β€œ
 
Nilisema hapa....haya kiko wapi ! Mbwa kabisa
 
Arsenal haina tatizo kabisa , tatizo lipo kwa mashabiki wa arsenal kuwa chukulia arsenal serious.
 
Kuwa shabiki wa Arsenal ni lazima baadhi ya fuse ziwe hazifanyi kazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…