Arsenal (The Gunners) | Special Thread

 
M
Na bado kuna pimbi litakuja kuandika upuuzi.

Mimi nipo hapa
Hakuna upuuzi ushindi wa leo ni unaonyesha kwanini nyinyi ni false hopes, ukiwa false hopes haimaanishi wewe unakua na majanga tu kila mara bali kwenye mambo yasiyokua na maana unakua na furaha na yale mambo ya maana huna furaha.

Unashindwa kushinda match muhimu na Nottingham unakuja kushinda na inter match isiyokuwa na umuhimu wowote , najua huwezi kunielewa saivi ila May utanielewa
 
TImu imeshinda mechi 7 mfululizo unasema ni false hopes?! Dude?!
 
Ushindi wa leo ni pure false hope. Hivi game ya leo na Nottingham ipi ni game ushindi wake ulikua wa muhimu zaidi? Ukipata jibu sahihi utajua kwanini tunawaita false hopers. Tukutane May.
Ukisikia kupiga kwenye mshono ndo Huku Sasa ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€

Anyways Tunaendelea kuwakumbusha Hawa mayatima

Msimu wa 25/26

FALSE HOPE FOOTBALL CLUB

1. Carabao cup: FALSE HOPE๐Ÿ”ž
2:EPL loading: FALSE HOPE๐Ÿ”ž
3: UEFA loading: FALSE HOPE๐Ÿ”ž
4: FA Cup : FALSE HOPE๐Ÿ”ž
 
Mahaters mtateseka Sana msimu huu,endeleeni kutuwangia ila mwisho wa siku aibu itakuwa kwenu
 
Jamani naombeni mnisaidie kwa anaejua.

Nikijaribu kureply ujumbe wa mtu basi yanakuja maelezo yake yote kwenye box ninalotakiwa kuandika maoni yangu.

Hili tatizo halikuwepo hapo kabla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ