Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa uwakute wakiwa wanawazungumzia hao kina dada Zube unaweza dhani ni kina Xavi na Iniesta 😃😃😃😃😃😃😃

Tunaanza tena kuwahesabia makombe yenu yote manne mtayobeba msimu huu kama kawaida yetu



Msimu wa 25/26

FALSE HOPE FOOTBALL CLUB

FALSE HOPE FOOTBALL CLUB

1. Carabao cup: FALSE HOPE🔞
2:EPL loading: FALSE HOPE🔞
3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞
4: FA Cup : FALSE HOPE🔞
 
Huko Nottinghamshire kuna mbungi moja la hatari sana.
Hadi dakika hii N. Forest 0 vs 0 ArsenalNDOO

Points 3 zipo pale pale, iwe jua iwe mvua
Iwe jua iwe mvua...

Bahati mbaya kumekuwa na ukungu ..
 
Hizi notes kila false hoper azipitie ni notes muhimu sana soma mstari kwa mstari neno kwa neno.
Arsenal tunaijua sisi kwa miaka 20+ hii team pale ipo epl kama team ya vichekesho.
Team yoyote inayokimbizwa na arsenal huwa inakua bingwa always mifano ni mingi mpaka Leicester alikua bingwa sababu alikua anakimbizwa na arsenal, hata saivi unaweza ukaona kwamba man city anamkimbiza arsenal kwa jicho la ki false hoper ila kwa jicho la reality ni kwamba arsenal ndo anamkimbiza city.
NARUDIA TENA ARSENAL HABEBI KOMBE LOLOTE MSIMU HUU.
 
Mwendo ni ule ule.

Mwizi anagewa Azam energy ili nguvu zimrudie kipigo kianze upya.

HAkuna pimbi wa kuongea kitu
Another false hope kutoka kwa false hoper .. hii timu kuiita false hopes hatukukosea kabisa.
Mpira upi mliocheza au nafasi zipi mlizotengeneza?
Wewe unaona kama umemkamata mwizi kakuibia kumbe mwizi anakulia time maana alipaka mkongo lengo ilikua sio kuiba tu bali kuiba na kubaka kabisa.
 
Online mashabiki wapo on fire juu ya timu kushindwa kucapitalize makosa ya City.

Wanaamini kocha hakua serious kumuanzisha Madueke. Alikosea kumuanzisha Martinelli.

Nyakati hizi kila mtu hua anaongea aonekane anajua. Tufocus na mechi zijazo
 
We Lofa....tukishabeba kombe tutakukaribisha kwny sherehe za ubingwa uje uhudhurie maana tunajua Bado ww ni mwenzetu ila una act kama hutupendi hivi🤠🤠...welcome to the Gyokeres show
Unazungumza kuhusu kombe 😆😆 nadhani tukihesabu kwa miaka 21 hii makombe ya arsenal na arsenal fans walioujiua sababu ya false hopes unahisi idadi itakua vipi?
 
Online mashabiki wapo on fire juu ya timu kushindwa kucapitalize makosa ya City.

Wanaamini kocha hakua serious kumuanzisha Madueke. Alikosea kumuanzisha Martinelli.

Nyakati hizi kila mtu hua anaongea aonekane anajua. Tufocus na mechi zijazo
Yani Arsenal mpaka wapinzani huwa tunasupport angalau na nyie mbebe Epl moja mfute machozi kama Liverkuku lakini wanetuu hampo serious kabisa msimu uliopita kwa Liverpool ilikuwa hivi hivi😆
 
Yani Arsenal mpaka wapinzani huwa tunasupport angalau na nyie mbebe Epl moja mfute machozi kama Liverkuku lakini wanetuu hampo serious kabisa msimu uliopita kwa Liverpool ilikuwa hivi hivi😆
Yap Mimi mwenyewe Liverpool naona arsenal ni wakati wake na yeye achukue "Ipielo" misimu zaidi 3 nyuma kalipambania sana, sasa ngoja guadiola afufuke awamu2 na aanze zile winning streak zake Hadi mechi12-15 mfululizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…