Dogo kumbe wakishua enzi hizo unacheki Tv kwenu mna mpaka madishi wakati wengi wakiwa analog na Tv mpaka kwa jirani wachache.
Mimi nimeanza 2008 enzi hizo nipo darala la kwanza
Liverpool kaingia vizuri, akibadirika atafungwa. Anashambulia inapobidi then anarudi kujilinda, asipishane na Arsenal atamiminiwa.Arsenal ukikaa nyuma ni vigumu sana kukufunga.Sema liva tumeingia na approach nyepesi(labda sababu ya ubora wenu) ila nyie mkisakwa vizuri mnameza ndoano vizuri kabisa
Narudia bahati ni muhimu leo usikuKwenye maisha kuna kitu huitwa bahati nzuri, mimi hu define when opportunity meets preparation.
Kwa misimu miwili nyuma arsenal tulikuwa tuna anza vizuri na kumaliza vibaya, wapinzani wetu waki anza vibaya na kumaliza vyema.
Injuries na sisi ilikuwa kama upwiru kwa msela, key player's walikuwa wana umia ule muda ambao wana hitajika Sana.
sasa hivi mambo yame change squad yetu ni Pana, huku wapinzani wetu wa top three hasa city kasha poteza beki wake wawili hawa ni nguzo yake muhimu mno.
Since January 2026 top 6 teams zicheze ni arsena pekee kasha shinda game zake, huku wengine waki draw zote au kufungwa.
Leo na kuendelea tuna ihitaji hiyo bahati kwa namna yoyote ile, viva arsenal viva the gunners 🔥.View attachment 3527138
Second half Liverpool kaupiga kiukweli.Arsenal sijajua tulibadiri mbinu maana ni kama vile ilikuwa hata point moja inatutosha.Hii game ya leo sijui Arsenal wameingia na ubarid gani.
mkorea, makaveli10 nadhani mme elewa sasa hesabu zangu, nime pita mle mle.Kwenye 9 points sisi 2 wins draw vs Liverpool, yeye kazi anayo kudadadeki 🔥