Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nakukumbusha tu umtafute uyo mtoto wa howe
 
Mm nakosana na Arteta sehemu moja tu....Huwa simuelewi yule Merino pale kwny kiungo anampendea nn hasa....jamaa Yuko very slow....yule kama Rice hayupo Bora Norgaard azime 6 halafu Zubimendi azime 8 na jana ilionekana kabisa alivyoingia Norgaard...lqkini Arteta yy anamkumbatia Merino mgumu kugeuka kupiga pasi kama trekta
 
Sawa haina tabu mkuu, ni maoni yako, haina haja ya kupigizana kelele, naheshimu unachokiona
 
😂🤣🤣
Hata mimi nilimkumbuka rice.. ila merino ubongo wake unafanya kazi vizuri, japo kimwili yupo slow, anakaa na mali ana jicho la pasi, nadhani hii inampa sifa mbele ya norgaard.. ana mchango kwenye kukaba, kuchezesha timu na kushambulia.
 
Tumemaliza nusu ya msimu tukiwa kileleni kwa hiyo vijana wa Arteta waendeleze Moto huu mpaka tubebe kombe.
The title is ours to loose
 
Yaan Saka ni world class, upo serious ww??
 
Merino kucheza kiungo ni kudanganyana...awe super sub tu....yule Norgaard mtu sana ila ndo hvyo hatumtumii ipasavyo....
 
Merino kucheza kiungo ni kudanganyana...awe super sub tu....yule Norgaard mtu sana ila ndo hvyo hatumtumii ipasavyo....
Ana vision ya merino, ni press resistant mzuri zaidi ya merino.. kwenye kushambulia anakupa anachokuofa merino?
Simkatai Norgaard ila wachezaji huzidiana kwa sifa tofauti tofauti, na unaweza kuta mwalimu anamchagua mchezaji kwa sifa fulani tu
 
Nafikiri mashabiki wa timu pinzani waache kufananisha makocha wao na Arteta.

Ole
Erik
Conte
Potter
Enzo
Tuchel, tena huyu ni wakati Arsenal ipo hovyo kwelikweli.
Slot

Mashabiki wa United hawajamfananisha Amorim na Arteta kwakua they learned it the hard way kwa Ole na Erik.

De Zerbi akiwa Brighton waandishi wa habari nao walikua busy kumfananisha na Arteta. Kilichofuata tukakiona.

Leo nasikia De Zerbi anarudishwa Chelsea, kama watakua hawajajifunza kwa failures wao waliopita wataanza tena.

And we will be side by side watching nani atakua alama ya aibu halafu tutajionea
 
Kama unashangaa kwanini Eze hajaanza game ya 3 mfululizo kumbuka goli la Cash wiki kadhaa nyuma walivyotufunga 2 - 1.

Angalia Cash alikua wapi, Eze alikua wapi na mpira ulikua wapi. Hapa ndiyo unakumbuka Martinelli hua anacheza 90 minutes ingawa hascore na hatoi assists mpaka fanbase inalaumu.

Ndiyo mambo kama hayo.
 
Hata mechi ya Chelsea jamaa alikuwa hovyo sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…