Arsenal (The Gunners) | Special Thread

City akishika usukani pale juu ndio tusahau ubingwa
Kwani bado hamjasahau tu? Kwa mpira upi mnawaza ubingwa? Kama mlishindwa kuchukua ubingwa kwa ule mpira wa 2022 ambao kina mkorea walikuwa wanatamba nao ( inverted midmfidler) zincheko anaingia ndani xhaka anacover upande wa zincheko ndo mje kuchukua huu wa jokeres anakimbilia kwenye miguu ya mabeki wa timu pinzani 😆.

Sema false hopers mpira wa 2022 ule ndo ulikuwa mpira mlishindwa vipi kuchukua kombe nyie kenge mna point 8 clear mpaka April! , saizi mnawaza ubingwa kwa kumuacha man city point 1 !!
 
Ila epl ni ngumu sana, naona timu zinavyohangaika kupata ushindi. Ukitoboa dec hadi march.. unabeba ndoo
Sio kwa arsenal , alifika mpaka April tena 8 games to go na akakosa ubingwa !!
Arsenal mpaka akabidhiwe kombe kabisa hapo ndio unaanza kumuwazia ubingwa maana unaweza ukashangaa pia ubingwa akavuliwa hata kama kapewa kombe so inabidi ujipe kama week 1 kwaajili ya kuhakikisha😂
 
Few weeks back ikawa kwamba Arsenal akishinda hili kombe halina ushindani wowote. Sasa hivi narratives zimebadilika.

Ukikaa ukasikiliza hizi stori za wavimba macho unaweza hisi ukikutana na timu zao hutoki. Anyway, tuna kazi na Villa leo.

Nimecheka nimekuta online kuna mtu kaandika Unai atasababisha Arteta afukuzwe kazi.
 
Arsenal tukishinda kombe lolote la maana msimu huu aidha EPL ama UCL kuna nyumbu zitateseka Sana

Watu Wana roho mbaya huku nje sio poa yaani
 
Nadhani timu zinapark basi wakichezi na sisi kwasabb wameshaona weakness yetu ni kulifungua basi na kupata goli. So ni njia moja wapo ya kumzuia Arsenal. Tukicheza na team zinazoplace high na kucheza kama Bayern Huwa tunazifunya sio kwa ugumu saana kama hz zinazoaprk.
Kama umecheki mechi ya Palace na City ndiyo utaelewa nikisema tunatakiwa tu kushinda mechi zetu.

Stori ni ileile, against Arsenal paki basi. Anyone else offer opportunity after opportunity after opportunity.
 
Juzi against Brighton.

Gyokeres alipata clear chance moja. Martinelli clear chance moja. Saka clear chance mbili.

Saka angeweza kumpa mpira Gyokeres mara moja.

Odegaard angeweza kushuti akiwa ndani ya boksi mara moja.

Jesus angeweza kushuti akiwa ndani ya boksi mara moja.

Tungeweza kucounter mara mbili.

Adebayor alikua anahitaji nafasi tano ili akupe goli moja. Gyokeres hana hii leisure, wings zina akili ya kutaka kuscore, AM ni mpuuzi.
LB, Skelly, akajaribu long ball Gyokeres akaikimbilia ikampa yellow kipa. Kisha no one else tried shit.

Goli la Brighton ni goli ambalo kama una ST kama Michail Antonio ni goli la kawaida. Physically Gyokeres can do that, shida ni kukabidhiwa mipira
 
Gykores ana mapungufu kadhaa ambayo anatakiwa kurekebisha

Kwanza kbsa ana very poor positioning,ndo maana wenzake wanashindwa kumpasia.Jamaa anatakiwa ajue jinsi ya kujiposition

Pili ni dribbling skills zake ziko very poor,hajui kudribble kbsa na kila anapojarijibu kudribble mara nyingi huwa analoose mipira kwa opponents.Hili nalo anatakiwa kulifanyia kazi
 
Hatukuwa na depth, timu ilikua akiumia first eleven tu inabidi watumike mareserve wasio na ubora.
 
Arsenal tukishinda kombe lolote la maana msimu huu aidha EPL ama UCL kuna nyumbu zitateseka Sana

Watu Wana roho mbaya huku nje sio poa yaani
Yaani unawaza Arsenal kushinda EPL au UCL!!!, wenzako walishawaza NDOO wakaishia kuitwa MAKONDOO.
 
Kidogo kidogo akili zinaanza kuwarudia, mana mlishaanza kuwabebesha wachezaji wenzie mizigo kuwa hawamlishi wakati chezaji lenu ndio mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…