Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii ni game ya tatu au ya nne tunasema tunacheza hovyo na zilizopita tulihisi kucheza mechi back to back ndiyo chanzo. Ila mechi ya leo imetuumbua, mechi back to back siyo changamoto ni ukweli kwamba tumefika mwisho na hatuna mpango wa kubadilika.

Hii ni marudio ya kilichotokea misimu mitatu nyuma. Kama hauoni hilo unafuatilia mechi fotmob basi jiandae kwa disappointments, huu siyo uchezaji wa watu waliodai walijitathimini makosa yao dhidi ya Wolves.

Huu ni upuuzi
 
Online nimekuta same complains kwamba timu za kaliba ya Westham, Crystal Palace, Brentford, Wolves n.k. zinapaki basi dhidi ya Arsenal pekee.

Goli la 3 la City dhidi ya Westham Arsenal ya sasa hatuwezi kulipata kwakua tumeshakua kwenye positions za vile mara nyingi na atakayepata mpira akili yake ya kwanza ni kusubiri wenzake waje zianze sideways passes na back passes.

Goli la 1 na la 2 la City dhidi ya Westham hatuwezi kulipata kwakua hatufanyi high pressing siku hizi. Tumefanya high pressing dhidi ya Spurs na matokeo yalikuaje?

Kwanini tunahofia kufanya high pressing wakati tumeshacheza hivyo? Hapo sijui na ni maamuzi ya kocha jinsi tunavyocheza kama maroboti yasiyotaka kuacha kucheza yalivyokua programmed.

Kuna mashabiki wanasema shida yetu ni kwamba "We don't take risks" hapa sasa ndiyo inamaanisha hatuwezi kupata goli la 3 la City dhidi ya wapaki basi. Una Midfield ambayo haibaki nje ya 18 kusubiri looseballs, una wings zisizofosi ku-cut in na kushoo, una CBs zisizopiga long balls, una LBs wawili ila ni mmoja tu anajaribu ku-overlap na bado winger hapeleki pasi akipeleka ni pasi ya kifala, una AM anayegawa mipira upande wa kulia na kurudisha mpira nyuma na hapigi through passes kwa ST wake.

Mechi dhidi ya Everton tuna shots 13, on target ni 2, katika hizo 2 moja ni ile penalty. For 96 minutes huo ndiyo upuuzi Arsenal inayotaka makombe ilikua inaufanya mule ndani. Na hii ni timu ambayo mechi ya mwisho kabla ya hii ilicheza siku 5 nyuma.

Hakuna kisingizio cha uchovu bali inamaanisha akili ya mwisho ni hiyo. Tukaambiwa hawa watu walikasirika kilichotokea game ya Wolves mpaka wakaambiana ukweli n kujitathmini. Halafu next game, siku tano mbele, unarudia ujinga uleule.

Second team ya Arsenal ilitakiwa istruggle kupata ushindi dhidi ya Everton, kwamba itashinda ila kwa mbinde, ila hiyo ni first team ambayo kakosekana Magalhaes.

KAma mnahisi shida ni wapinzani wanapaki basi Arteta akalalamike kama Slot alivyolalamika kwamba watu wanampiga low blocks na long balls na yeye hajui cha kufanya wakishamfanyia hivyo.
 
Kwa mpira huu tunaocheza tatizo anakua ni mwalimu. Yeye ndio anaamua timu ichezaje, yeye ndio anaona timu inachezaje. Next game tunaenda kucheza vile vile
Huyu arteta asituzoee, aache uoga a-take risk.

Huu msimu tumejiandaa kubeba ndoo na mpira unaoeleweka. Watu wa kazi anao

Berta anamchora tu
 
Wachezaji wetu Wana shida ya kuremba remba( miguso mingi isiyo ya maana) kwenye build up.
Ndo maana wapinzani huwa wanacover positions mapema na kujilinda and hence tunashindwa kupenetrate kwenye lango lao.

Tofauti na City ambao huwa hawana miguso mingi kwenye build up zao.Yaani pasi nne tu Haaland anagewa mpira inakuwa bao.

Arteta na timu yake wanatakiwa walifanyie hili kazi mapema kabla mambo hayajahariba.
Odergard ana ujinga huu
 
Jana nimebahatika kucheki game yetu, nimeona vitu kadhaa

1.zubi ni mchezaji mzuri kiasi, lakini kuna mambo anapaswa kujifunza kwa ajili ya timu, kupokea mpira na kugeukia goli la mpinzani ni kitu muhimu mnoo kwa kiungo wa chini,, haswa mkiwa na wapinzani waopress juu kama everton jana, kuna pasi alikuwa anapigiwa na raya, yeye alikuwa anazirudisha kama zilivyo, sehemu ambayo kama angeturn, ni dribling 2, 3 anapiga pasi sumu. Jana kapiga pass za nyuma nyingi sana.
Nikamkumbuka mzee partey.

2.gyokeres ni striker wa kuwekewa mpira kwenye njia, kuna namna anafungua anatengeneza mazingira ya kukimbia na hapasiwi.
Gyokeres sio jesus, jesus anaweza akashuka chini, akacheza 1,2 akareceive na kuturn kwa maadui, akapiga vyenga, na mengine kibao sio gyokeres ,yeye ni weka mpira njiani twende.

3. Raya ana mchango mkubwa sana

4. Odergard ubishoo mwingi kuna vipasi huwa anavilazimisha, havina msaada, kifupi havipatii, anakaa na mali bila sababu ya msingi, na anajivuta zaidi kwa saka.

5. Saka nae ni mashuzi tu

Tusipobadilika tutaanza kupoteza point sasa
 
Arsenal kupata ubingwa ni 50/50
Kosa kubwa Lao ni kumuacha Partey kuondoka,
Rice hawezi kupanda na kukaa juu, hakuna mlinzi wa kulinda defense
Zubimendi bado kuweza kuhimili ugumu wa premier league
Kwa team iliyopo amekosekana Partey kukamilisha team
Either Arteta au uongozi haupendi wachezaji wenye ushawishi kwenye team
Hapo ni mawazo yangu
 
Kwani huwa hamuangalii historia ya timu yenu walau miaka 5 nyuma hadi mnakuja na hasira hivyo? Arsenal huwa tunaanza kuihukumu kuanzia mwishoni mwa Disemba hadi Februari mwishoni, tofauti na hapo ni kujilisha upepo tu.
Guys, Guys, Guys lower your expectation kwa usalama wa afya zenu tafadhali.
 
Hii hapa ni pass na Gyokeres anascore. Mnakua 2 - 0, alichofanya mshkaji alirudisha mpira nyuma.
20251221_184754.jpg
 
Chelsea hawaongelei tena clean sheets. Few matches and each fool will jump on it
 
Nilishasema muda tu shida ya Arsenal ni Arteta.

Hiki kikosi cha Arsenal ukimpatia kocha mwenye akili timamu au angekuwa nacho kipara basi sasa hivi angekuwa anaongoza kwa tofauti ya points 7 hadi 10.

Ila huyu wetu anadondosha points kiboya wakati City anadondosha points mazingira ambayo ni magumu kwake sio kwa ujinga wa kocha.
 
Tuesday Dec 23/2025, Time23:00:
Arsenal Vs Crystal Palace, Carabao cup semis 1st leg..
What a game!!!
Arteta aache 'uboya" apite nacho ht hichi kikombe na Cha FA km akikosa Cha Ligi Epl maana Man city kashamkalia kooni, UEFA anaweza fika tena nusu fainali au fainali ila kuchukua mmh!!
 
Back
Top Bottom