Hawa viazi wana wachezaji wa kawaida ila wao sasa wanaona wana wachezaji wa maana!! Utaambiwa Eze ni weldi klasii!!!! unabaki unashangaa! hawa zimetimia kweli?Eze alionekana ule muda anatoka ndo tukagundua kumbe alikuwepo😁
Kweli kabisa kwa akili yako timamu unamchukulia serious Arsenal Leo yenyewe anapoteza pointManCity huyo hapo kiunoni kwenu.
Title race ishakuwa ngumu hii.
Hii draw vs Sunderland na Chelsea , zitawaponza.
PEP ni mtu asiye na huruma na anaamini huruma sio malezi.
Lisikie hili bwengaKweli kabisa kwa akili yako timamu unamchukulia serious Arsenal Leo yenyewe anapoteza point
Download CRICFy tvNaombeni ndugu yangu application nzuri za kucheki mpira live
Ebu nioneshee kwa picha ilivyo maana nimecheki playstore zipo nyingiDownload CRICFy tv
Usiende playstore. Hiyo unadownload kupitia google.Ebu nioneshee kwa picha ilivyo maana nimecheki playstore zipo nyingi
Shukrani sanaUsiende playstore. Hiyo unadownload kupitia google.
Maresca Huwa sijui anashida gani kamuanzisha Tosin beki wa ovyo kabisa huwa anapenda kufanya unnecessary line up kwenye hizi team ndogo Gusto, Fofana na James wote wamepumzishwaHaiwezekani big four wote tushinde leo. Inabidi mmoja au wawili wapotee
Notice kwamba nimeandika hivyo hata mechi yenu haijaanza.Maresca Huwa sijui anashida gani kamuanzisha Tosin beki wa ovyo kabisa huwa anapenda kufanya unnecessary line up kwenye hizi team ndogo Gusto, Fofana na James wote wamepumzishwa
Huu ndio mwanzo wa kupotea kabisa. Jumamosi wana Bournemouth away. Hapa ndio watafutika kwenye mbio za ubingwaWiki mbili zilizopita walianza kusema wana defense nzuri na kipa wao ni mzuri ndiyo sababu wana clean sheets 6 na Arsenal ina 7.
Hizi kelele hautazisikia kwa sasa
Hii game tukipata ata suluhu TU inatosha, maana Unai waga ni kama vile bado ana bifu na Arsenal, huwa anachukulia very personalAston Villa wananipa mawazo sana, na hizi injuries kule nyuma, tunahitaji outstanding performance kutoka kwa Arsenal siku hiyo.