Nyie mna timu nzuri sana mkuu, lakini consistency au mfululizo wa kushinda mechi Hadi mechi mpk ligi iishe ndio kitu mnakosa.Hata km ni ushabiki kuna muda tujaribu kuwa logical, sisi ku draw na Sunderland kwako unaona tayari bingwa Man city ! kwanini bingwa hukusema liverpool au timu yako au hata Chelsea aliye nafasi ya pili au sunderland aliye nafasi ya nne? ukamtaja city kwa kudhani utawatisha Gooners, aisee mbongo ni mtu hatari sana kwenye mambo negative,
Ninyi mlifungwa kwenu na Sunderland bhana, uwezo wenu bado mdogo atleast mufc
Yaani naona Man City is the only Competitor for Arsenal this timeArsenal msimu huu kuna jambo kubwa wanaenda kulifanya.
Mpaka inafika muda mnagundua nyie uwezo wenu ndio mdogo.Ninyi mlifungwa kwenu na Sunderland bhana, uwezo wenu bado mdogo atleast mufc
Tuondolee hapa hizi ngojera zako za kipumbavu.Gabriel njee... Miezi minne, city anabeba kombeee.. Asenyani njee
🤣🤣🤣🤣Nashauri
Ubadilishwe uwe Arsenal women FC special Thread
Maaana focus yao kwa sasa ipo huko kwenye Arsenal ya akina Mama.
Mwaka huu wenu mshindwe tu wenyewe. Jana liverkuku majogoo wamewekwa 3, Mancity pia kapakatwa....mna room nzuri ya kushinda ubingwa mwaka huu. Sisi Chelsea tunawasindikiza tu. Ili na nyie mpate hata kidogo mfurahie kuchukua makombe makubwa na si hayo ya kunywea uji.game dhidi ya tote ni zaidi ya fainali