Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Majirani kutoka london kuna article yenu ya maana sana iliyojaa matumaini msimu huu

Channel hiyo hapo wakuu tuongezeke kwa wingi mambo ni balaa
Screenshot_20251014-192132_WhatsApp.jpg


Follow the Pinkie Football Universe channel on WhatsApp: Pinkie Football Universe | WhatsApp Channel
 
Tunashinda lakini tunahitaji kubadilika.

Ngoja tuone maana hata Liverpool alianza mdogo mdogo mwisho pumzi ikakata.
TUende hivi hivi mpk teka letu Kai mikazo lirudi🤠🤠...Madunduka Madueke na Kai na Odegaard akirudi it will be very interesting....Kuna watu siku ya mechi watakuwa wanaachwa nyumbani maana hamna nafasi kwny substitution....tuna quality ya ajabu kabisa.....
 
I would like to take this precious opportunity to congratulate Manchester city for winning the EPL 2025/2026.

THANK YOU FOR YOUR ATTENTION TO THIS MATTER.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom