Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kiukweli sina imani na Arteta kwa kikosi tunacho kizuri sana na kina stahili kubeba kombe la heshima.

Lakini kwa upande wa kocha acha nisiweke matumaini makubwa nikaumia.

Lolote la heri likija basi talipokea kama surprise
 
GOAL! Rice unleashes a quick shot into the top of the net! Arsenal 1-0 West Ham

1759594771062.gif
 
GOAL! Saka makes no mistake and scores the penalty! Arsenal 2-0 West Ham

1759595080793.gif
 
True,

Hadi dakika hii usumbufu wa G unatusaidia sana pale mbele
Mabeki wa timu pinzani hawapandi kizembe
Concentration ikiwa kubwa kwa G, inatoa advantage kwa wengine
Halafu ana mikimbio mizuri. Højlund wa Arsenal.
 
True,

Hadi dakika hii usumbufu wa G unatusaidia sana pale mbele
Mabeki wa timu pinzani hawapandi kizembe
Concentration ikiwa kubwa kwa G, inatoa advantage kwa wengine
Lile jamaa lina mwili mkubwa ila lina kasi balaa.

Ile pressing yake kama beki/kipa control yake mbovu basi anaupata mpira.

Kwa upande wangu Gyokeres namuona ni mtu sahihi sana.Ila tu timu haimpi nafasi ya yeye kushnda magoli.

Hadi sasa hivi katika mechi alizocheza ukiangalia nafasi za wazi alizopoteza hazizidi 2.Namaanisha zile nafasi kama za Nunez.

Msimu huu naamini Maafro akituliza akili tunaenda kuweka heshima.
 
Naona utetezi mwingi wa Victor G......! Yule ni striker, kazi yake ni kufunga na sio kingine !

Ooh mara mikimbio, sijui anapambana na mabeki wengine wanapata mwanya wa kufunga , mara possession etc.... bla bla kibao...pale mmepigwa, kwa umri wake ameeshahit kwenye peak yake..... msidhani atabadilika tena ! Mkimpeleka farmers league huko kama France, Portugal, Holland anakupigia 60G/A per season.... ! EpL havuki goli 10 ! Mmetapeliwa na Sporting.... kumbuka ile kauli yao "no refund "
 
Umemaliza au bdo unaendelea kuandika pumba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom