Nimeona ndio mana hata kufunga amefunga kwa mbinde sana, vp striker wenu mbeba vyuma, alipga off and on target ngapi?Alidhibitiwa....hujaona ndugu yangu??🤠🤠
He's nervousNilishangaa nilipoana Mosquera anaanza, IQ yake ni chini sana
Magalhae Gabriel ni liability kwa Arsenal,Some of the players we considered assets, are liabilities
Ndo katupa ushindiMagalhae Gabriel ni liability kwa Arsenal,
Against Man City yeye alikuwa ndio sababu ya goli na leo ndio kaguswa kajiangusha, mchezaji mzuri lakini mzembe kwenye kazi
Haiondoi uhalisia wa alichokisema mdauNdo katupa ushindi
Kwahiyo na wewe unakubali km Gabriel ni mzigo? Na kuanguka unadhani alifanya makusudi?Haiondoi uhalisia wa alichokisema mdau
Ni kweli vs City alikutwa out of position.. lakini bado yeye ni binadamu km wewe, ana mazuri mengi ukiondoa makosa machache.Magalhae Gabriel ni liability kwa Arsenal,
Against Man City yeye alikuwa ndio sababu ya goli na leo ndio kaguswa kajiangusha, mchezaji mzuri lakini mzembe kwenye kazi
Hii game mimi nilishaiona kwenye sub nilizokua nazifikiria na kocha kapita mule muleDakika 90 Newcastle tunamkanda