Sasa mlikuwa mnalialia nn na bei yake? 😂Fundi maduekeView attachment 3473136
Sema huyu Madueke ni msumbufu sana
Ili pep apack bus lazima uwe na watu wakumfanya apack bus kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli maisha yanaenda kasi sana, katika maisha yangu sijawahi kufikiria kua ipo siku Pep Guardiola anaweza kubadilika na kua prime Mourinho.
Ila The Ganjaz kwa magoli ya papatu papatu mko vizuri sana.
Unasemaje liverpunda bingwa wakati haujamalizana na hizi teams:Liverpool bingwaa
Hao nao wanadhani kila msimu bahati itakuwa upande wao tu. Kimsingi ushindi wao ni papatu papatu kama chelsea tu.Unasemaje liverpunda bingwa wakati haujamalizana na hizi teams:
Newcastle
Brighton
Man city
Chelsea
Crystal palace
Nyumbu
Spurs
Arsenal
Apart from hizo teams
Kuna surprise draw au kufungwa kabisa
Mpaka sasa ni unbeaten alaf unasema ushindi wa papatu papatu 😂Hao nao wanadhani kila msimu bahati itakuwa upande wao tu. Kimsingi ushindi wao ni papatu papatu kama chelsea tu.
Mpaka sasa ni unbeaten alaf unasema ushindi wa papatu papatu 😂
Hata Palace ni unbeatenMpaka sasa ni unbeaten alaf unasema ushindi wa papatu papatu 😂
Huyo palace ana point ngapi na Liverpool ina point ngapi?Hata Palace ni unbeaten
Alidhibitiwa....hujaona ndugu yangu??🤠🤠Mmeshamdhibiti au tungojengoje kwanza?