KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,449
- 5,541
Jiheshimu FazaaaaHaitwi chesko, yule ni dada sesi
Jiheshimu FazaaaaHaitwi chesko, yule ni dada sesi
😀😀😀😀😀 hilo tutamuita akituudhi sana. Mfano akishindwa kuifunga LiVARkuku na Chelkenge game iishe 1-1.Haitwi chesko, yule ni dada sesi
Nimemuona YouTube tu ila naona ni mtu na nusu yule. Atawaweka kina Calafiori benchi.Hincapie ni bonge la beki, aki zoea ligi basi tume maliza.
oya nawe ni team nyumbu?, basi mpe hi dada sesii wa ikunguJiheshimu Fazaaaa
Sawa fazaaaaaoya nawe ni team nyumbu?, basi mpe hi dada sesii wa ikungu
Unataka kulia?Mkuu si ulisema hauto rudi😂😂
Mnamtafitia lawama tu,Nyie uwezo wa kuwafunga mnao?😀😀😀😀😀 hilo tutamuita akituudhi sana. Mfano akishindwa kuifunga LiVARkuku na Chelkenge game iishe 1-1.
Saa zingine wakiwafunga wengine inatosha.Mnamtafitia lawama tu,Nyie uwezo wa kuwafunga mnao?
Possibly this, akitwist kidogo basi Merino #10 then Eze kwa Martinelli, Martinelli ashindwe na hii maana wao RB hakuna mtu, akianza EZE LW basi upande wa kulia kwao ndio njia hiyo
Kipindi cha pili Angie trosard, kumalizia chenchi iliyo baki.
Ata dowman ana penalt yakeKipindi cha pili Angie trosard, kumalizia chenchi iliyo baki.
Ila ata piga gyokeres, kama ali acha demu, hawezi acha penalty 😂😅Ata dowman ana penalt yake
Yalla liveHiv site za kucheki game za epl bila miyeyusho nj zipi wadau
Asante mkuu umetishaYalla live
Toka jana mshinde kwa papatu …mnaanza kutusumbua😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Vipi niwaitie allypipi aje kuwafanyia prediction mechi yenu na Livaa Vikuku? View attachment 3460387
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu fanya kutusamehe tu daaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Vipi niwaitie allypipi aje kuwafanyia prediction mechi yenu na Livaa Vikuku? View attachment 3460387