Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu nilishaamini kuwa anaenda Sp*rs, then ghafla bin vuu nasikia tumevamia dili la Sp*rs na tunamchukua sisi. Sikuamini. Nilifikiri ni Photoshop imetumika kuedit na kuweka "here we go" ya Romano.
Spurs wanamchukia Eze kama Liverpool wanavyomchukia Zubimendi, ama shoga yao manyumbu wanavyomzomea Gyokeres, wengine walichukua ligi, wengine walichuana europa, nasi hatukupata kitu, but wachezaji wanatupenda.
 
kilichobakia ni namna arteta atatumiaje silaha alizo nazo.. wachezaji hawafnani haiba zao.. ila ukiwatumia kwa miundo tofauti tofauti ya kiuchezaji.. wanakupa matokeo.

namna ya kushambulia iwe inabadilika mara kwa mara.. kuepusha wapinzani kukukariri.. naamini solutions anazo za kutosha msimu huu.
 
1000518013.jpg

Kwanini sisi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hatimae baada ya mechi zake saba akiwa na Arsenyau leo Kokores amebahatisha kufunga goli la kwanza kwa kichwa (free header)
Arsenyau nawakumbusha tu tarehe 17 msipoleta timu uwanjani tutawafata hukohuko kwenu.
Old Trafford sasa hivi ni fire [emoji91] [emoji91] [emoji91] View attachment 3436931
Na mwishoe mkaliwa kimoja😁
 
Reporter: “Can I mention the three-letter word?”

🗣️ Mikel Arteta: “Are you gonna say ‘Mum’?”

🗣️ Reporter: “Eze.”

🗣️ Mikel Arteta: “Yes. Nothing to comment, I can never talk about any player that is not part of our club yet!” 🤣❌
 
Reporter: “Can I mention the three-letter word?”

[emoji2788] Mikel Arteta: “Are you gonna say ‘Mum’?”

[emoji2788] Reporter: “Eze.”

[emoji2788] Mikel Arteta: “Yes. Nothing to comment, I can never talk about any player that is not part of our club yet!” [emoji1787][emoji777]
Neno yet
 
Yaani nyie makondoo kila msimu lazima hii njia muipitie, alishasifiwa Jesus, Zechenko, Patei,akaja mchele, kabla msimu haujaanza amesifiwa Gyokere weeee
Huyo Gyokere mechi ya kwanza tu Mimavi mitupu. now mpo kwa Eze, mwisho wa msimu mnatoka kama kijibwa kilichokunjia mkia kwa ndani.
 
Tulia wewe tuwaoneshe
 
Bwabwaja uwezavyo...siku tukikutana muwe kamili aisee....ni aibu msimu wa 50 huu Kila tukikutana tunawadunda😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom