Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kati ya Kokores na Weghorst aiseee bora ya Weghorst atakusaidia hata kukabia juu, ila huyu Kokores ni abiria tu uwanjani, yaani Tetea Kiwigi kama kweli ana akili ni mara 100 amuanzishe Kai Harvez timu ikipata matokeo ya uhakika ndio unaingiza hio Kokores.Duuuh kwamba cunha ni walewale kaa na Ben white akuelekeze vizuri maana pumzi ilikata, saivi kapumzika nenda kamuulize yule cunha vipi aanze kukupa madesa usisahau kubeba ream paper kubwa kama 3 ivi.
Sporting walishasema no refunds hahah gyokeres 1 Vs 1 anaacha mpira nyuma[emoji23]
Leteni 150 tuwape isak , tofaut na hapo mtaendelea kupigwa na chelsea.
Nan aanze Kati ya gyokeres na havertz ??
Utd kupoteza leo itatusaidia kuingia sokoni haraka kusajili Dm kabla ya dirisha halijafungwa.