Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Odergard naye aache Mawenge, anapoteza basi za kutengeneza magoli kiboya sana.. Ndio maana watu inafika mahali wanahoji uongozi wake kama captain wa timu.
 
Tumecheza vibaya sana first half.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bahati yenu sana Amorim leo amewabetia ndio maana hajataka kuwaanzisha Sesko na Amad.
Kwa zile nafasi tulizotengeneza dakika 45 za kwanza wangekuwepo hao watu wawili sasa hivi ubao ungekua unasoma Man 4 - 1 Arsenyau.
 
Kila mara unapojipa matumaini Arsenal imekamilika lakini ukiingia ndani ya uwanja unaona bado kuna deadwood nyingine ambazo zinalindwa na aibu tu lakini uwezo umepungua sana... Martinelli na Odergard kiukweli uwezo wao umepungua sana
Kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…