van PERSIE 0-4
Score line ikiwa hivi mpaka dakika 75 ningependa kumuona ALEX -OXLADE-CHAMBERLAIN akipewa final 15 minutes
Itapendeza zikikiongezea goli nyingine mbili kipindi cha pili moja ya gerv nyingine ya Van.
Dakika ya 72, kuna uwezekano wa angalau goli moja zaidi au hata mawili kama watatulia.
Nice play Theo Walcott (nina huakika kama Van Persie angekosa ningemlaumu Walcott kwanini hakufunga mwenyewe lol, binadamu sisi wa ajabu sana).
Naona wenger amekuckia
Thanks RVP,naomba msaada,inatamkwaje hii,WOJCIECH SZCZESNY,manake kila nikijaribu ninajing'ata ulimi.
Kweli hatua moja kuelekea kule tulikozeaLeo ngoja tusheherekee Tu..
thanks rvp,naomba msaada,inatamkwaje hii,wojciech szczesny,manake kila nikijaribu ninajing'ata ulimi.
Duu angalau kidogo napata mwanga.wojciesny szczesny =voy-chee-ek shi-jesh-ny