Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huwa mashabiki wa Arsenal mna namna yenu ya kuwaza, wakati nyie mnawaza anamkimbia Gyokeres, yeye mwenyew isak mawazo yake ni tofauti.
 
Huwa mashabiki wa Arsenal mna namna yenu ya kuwaza, wakati nyie mnawaza anamkimbia Gyokeres, yeye mwenyew isak mawazo yake ni tofauti.View attachment 3420184

Jamaa katushushua balaa kiaina 😀😀😀

Inaonekana wazi kuwa anaogopa Gyökeres atamshinda kufunga magoli hivyo anaenda kutafuta supply nzuri kule Liverpool. Ila ana hoja aisee. Liverpool wako karibu zaidi kushinda Champions League kuliko sisi.
 
Mashabiki wa Arsenyau banaaa kwa kupeana false hope hawajambo, yaani wanajisahaulisha kabisa kua alishindwa kuwapea Epl Van Persie akiwa amezungukwa na kina Fabregas, Rosicky, Samir Nasri, Theo Walcott, Adebayor, Aubameyang, Arshavin, Alex Song, Jack Wilshere, Santi Cazorla, Mesut Ozil na mafundi kibao halafu wanajiaminisha Gnyokores atawapea Uefa na Epl msimu huu akiwa kazungukwa na kina Madueke na Martineli.
 
Naona kama vile arteta ameanza kumkataa odegard kiaina hivi au ni mimi tu na akili zangu finyu
 
Naona kama vile arteta ameanza kumkataa odegard kiaina hivi au ni mimi tu na akili zangu finyu

hakuna mchezaji wa aina yake pale arsenal labda arteta awe ana badilisha mifumo pale anapomkosa ndipo wacheze wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…