Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,183
- 18,903
mi nakwambiaje EZE akija arsenal tunachukua PL, sjui kwann ila i prefer EZE tha odegardTumlete Eze au tuendelee na Nwaneri?
Ata mimi naenda na eze mkuumi nakwambiaje EZE akija arsenal tunachukua PL, sjui kwann ila i prefer EZE tha odegard
Huenda Eze ni mkali kuliko Ode. Akija Eze anaweza kumkalisha Ode bench. Ode alivyorudi kutoka majeruhi alikuwa anaujinga mwingi sana kwenye maeneo hatari. Kama Nwaneri ndiyo anategemewa kuja kurithi number ya Ode, nafikiri ni vizuri kuwa na mtu kama Eze kwa misimu michache ili kumpa ushindani Ode huku kijana akizidi kuimarika.mi nakwambiaje EZE akija arsenal tunachukua PL, sjui kwann ila i prefer EZE tha odegard
Humu vituko huwa haviishi.mi nakwambiaje EZE akija arsenal tunachukua PL, sjui kwann ila i prefer EZE tha odegard
Asenyo hao.Humu vituko huwa haviishi.
Hamtamsajili Eze mark my wordHuenda Eze ni mkali kuliko Ode. Akija Eze anaweza kumkalisha Ode bench. Ode alivyorudi kutoka majeruhi alikuwa anaujinga mwingi sana kwenye maeneo hatari. Kama Nwaneri ndiyo anategemewa kuja kurithi number ya Ode, nafikiri ni vizuri kuwa na mtu kama Eze kwa misimu michache ili kumpa ushindani Ode huku kijana akizidi kuimarika.
Sawa mkuu.naona unazidi kuwa mgangaHamtamsajili Eze mark my word
Hata victor mlisema hivyo na zubimend piaHamtamsajili Eze mark my word
Eze akija anakuja kuchukua namba ya Martinell & Trossardmi nakwambiaje EZE akija arsenal tunachukua PL, sjui kwann ila i prefer EZE tha odegard
Wewe ni kubwa jingaMatimu mengine ovyo kabisa , litimu lina michezaji yenye majina kama mazombi , sasa lichezaji linaitwa Zubimendi ,mara Siliba mara Kondoo wa Merino
Kisoka, hiyo si sababu.. tusubiri msimu uanze tuzungumze.. unayakumbuka ya torres, sanchez na wengine ambao walikuwa wameprove ndani ya EPL walipohama timu wakawa mashuzi tu.Joao Pedro ni Bora kuliko Glock kwa maana ameshaprove ndani ya EPL na striker ambaye yupo full package
Aje kumpa ushindani Odegaard. RCM au LCM panamfaa zaidi ila nasema RCM ili awe na Rice kama LCM wake. LW nasikia anaiweza vizuri tu ila katikati ndiyo kwake zaidi.Eze akija anakuja kuchukua namba ya Martinell & Trossard
Ni mawazo yangu tu, ila nafikiri ujio wa huyu jamaa kwetu ndio umempa presha Isak na kumfanya atake kuwaacha akina Labyrinth 84 na kukimbilia Liverpool.Wapinzani wajiandae kunyeshewa mvua za magoli😅View attachment 3419797