Unafikiri Arsenal hawana hela y kumnunua Gyokeres , sema anachofanya Arsenal ni utoto, ameshajua mchezaji mawazo yake yote yapo Arsenal ndio mana hajishuhulishi kubagain, mana wametofautiana buku jero tu, sasa Arsenal wanashindwa kutoa hiyo buku jero kweli?Kwa sababu Victor tunashindwa kumnunua ndo maana hela inaniuma. Bila hivyo hata wangetoa zote me sina shida
Ni sawa na msela kuzimikiwa na Mtoto mkali, hutumii pesa nyingi na wala hubembelezi sana.