Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa maana hy arsenyeto hamtokaa mcheze conference na Kombe la dunia?

Uzuri ni kwamba dunia mzima inafahamu Chelsea ndio timu bora duniani kwa miaka minne, haya em tuambie nyie nyetos mnajulikana na chama gn hata hapo UK.?
 
Kwa maana hy arsenyeto hamtokaa mcheze conference na Kombe la dunia?

Uzuri ni kwamba dunia mzima inafahamu Chelsea ndio timu bora duniani kwa miaka minne, haya em tuambie nyie nyetos mnajulikana na chama gn hata hapo UK.?
Tukishuka kiwango na kumaliza nafasi za nje ya top 5, then ndiyo kuna uwezekano wa kucheza conference league. Ni mpira tu huu na hatuwezi kujua ya mbele. Nyie hamkufikiri kuwa litakuja kutokea kwenu ila limetokea na mkatoka na kombe hilo kabisa, hivyo hatuwezi kutukana mamba kabla ya kuvuka mto.
 
Pia kiwango chenu kikishuka mtacheza kombe la dunia 😂
Mana hata huko UCL hakuna la maana mliwahi kufika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hio hio timu aliyorithi Mikel Arteta kutoka kwa Unai Emery ndio iliyompatia Arteta the one and only trophy katika maisha yake ya ukocha, Kiwigi kabeba FA Cup 2020 kwa kikosi chote cha Unai Emery baada kumfunga Chelsea kwenye fainali.
Tukiwaambia shida yenu kubwa mashabiki wa Arsenyau ni Mentality mnao kama vile tunawaonea.
Sasa hio miaka yake 6 Arteta hapo Arsenyau ameongeza nini au wachezaji gani waliomsaidia hata kubeba Carabao?
Badala yake mnakaa na kushangilia title contender kwa misimu mitatu mfululizo pasi na kombe lolote, binafsi nina uhakika Unai Emery angeaminiwa na kupewa muda kama alivyopewa Tetea kiwigi sasa hivi Arsenyo ingekua na kati ya Epl au Uefa mkononi.
Hio nafasi ya pili mnayodanganyika nayo kila msimu hata Ole Gunnar Solskjær alitimuliwa akiwa kamaliza nafasi ya pili.
 
Ndio ujue kwamba sisi sio wa kupigwa Bali Brighton ndio chimbo letu zuri la bidhaa tunazohitaji
Huenda Maresca akabadili mambo zaidi. Tatizo lenu siyo kuwa na wachezaji wabovu. Mmekuwa na wachezaji wazuri tangu enzi za Potter. Nakumbuka mimi mwenywewe nilikuwa naamini Potter atafanya makubwa sana na kile kikosi ila hakuweza na mmeendelea hivyo mpaka kumpata Maresca. Pia mmekuwa na majeruhi kwa wachezaji wazuri kama Nkunku.

Sisi mmetupiga hela kizembe kwa kututupia wachezaji wenu hovyo, ila hao hao wachezaji, kwa miujiza flani, tumeweza kufanya nao mambo makubwa kuliko uwezo wao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…