Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Madueke ni mchezaji wa aina ya kina sterling wanashida kwenye attitude na consistency wachezaji wa namna hii ngumu kufanikiwa game moja anakupa A" unasema huyu Messi mtupu next game unajiuliza huyu ndio yeye au pacha wake
 
Nyie hamjatumia zaidi ya 500m kwa Brighton?
Sasa kama mchezaji anakuja Chelsea ndani ya wiki mbili ana kombe la dunia kwann tushindww kulipa pesa zote hizo?

Yn ndani ya wiki mbili tayari Pedro ana carrier ya miaka 10 ya wachezaji wote hapo arsenyetos

Pedro ndani ya wiki mbili ana mafanikio kuliko nyumbu na arsenyeto wote kwa pamoja πŸ˜‚
 
Upinzani upi ulianza miaka? nyie wa juzi au umesahau recently mmetuletea takwimu kwamba mnaongoza kwa makombe karne ya 21? kwenye game tupo long time since the days of Chapman & Graham, ukitaka tuongee upinzani usichague miaka, kipindi chapman analeta WM timu yako ilikuwa wapi? that's a rivalry
 
Chelsea hasa kwa miaka yangu ilikuwa ni timu ya watu wa vijijini, vijana walipokuwa wanakuja mjini hasa kimasomo ndio first time walikutana na EPL, hapa walikuta chelsea ikiwa na Obi Mikel, Michael Essien, Didier drogba n.k. kulikuwa na rundo la waafrika waliyowavutia waafrika wa huku kwetu kwa kudhani ni timu nyingine ya Afrika iliyopo EPL, ku Compare ukubwa wa Arsenal na Chelsea sababu ya makombe ya ulaya kwa wanaojua hili game unaonekana mshamba.

when you talk about Arsenal, You talk about Beautiful football, Class, Culture, values and arts.
 
Hakuna aliyechagua mwaka shida yako unataka kubisha kushindana. Ndio maana nikakwambia kaa na misimamo yako.
 
Sasa mchezaji hajacheza hata mechi moja ya Arsenal unamwita Galasa??, angekua galasa angewasaidia chelsea kubeba makombe mawili. Kwanza chelsea wamefanya fear kbs, winga teleza ile ilitakiwa auzwe Β£100m.
Makombe mawaili yapi? Huyu angekuwa first 11 kila mechi tusigefika kokote aisee too selfish player sehemu ya kutoa pasi ya bao anafosi yeye ukimyima pasi ukafunga wewe haji kushangilia ananuna puuzi kabisa hii alafu huwa hicho ni kiburi habadiliki kuna mechi alikuwa anagombea kupiga penalt yeye na takataka nyingine jackson wakati wote wanajua utaratibu mpigaji penalt ni palmer
 
Tatizo la arteta mjuaji sana anajikuta tayari Guardiola yaani too many unnecesary experiments. Usishangae hata akamuweka LB au CAM!!
Asante sana kwa kuona hilo.

Na sidhani kama atakuja kubadilika.

Yule ni kocha wa kawaida labda aniprove wrong baadae.

Ila sioni akifanya maajabu ya kubeba makombe ya maana.

Miaka6 una kiFA na Ngao ya jamii.

Kuna makocha miaka michache tu wanabeba makombe.
 
Madueke mashine ya kazi wewe, Kama ni mchezaji Arsenal wamepata. Nitumie fursa hii kuwapongeza Arsenal wamepata winga machachari sana. Kile kitambaa cheusi tu ndicho kinachomtofutisha na prime Mess, ila ni mess mtupu.
 
Hakuna aliyechagua mwaka shida yako unataka kubisha kushindana. Ndio maana nikakwambia kaa na misimamo yako.
Timu iliyoshinda makombe mengi karne ya 21 maana yake mnajichagulia miaka ya ku define mafanikio, Kwanini msitafute takwimu za timu iliyoshinda makombe mengi kwa muda wote?
 
If you survived this you are a true Arenal fan

C&P
Hii ni timu aliyorithi Mikel Arteta kutoka kwa Unai Emery afu unamfananisha na Slot aliyerithi timu ya klopp ikiwa na Van dijk, Trent, Konate na Mo salah, ukumbuke misimu miwili mbele mwamba akaingia kwenye title contention na monster Pep Guardiola akiwa na peak squad iliyochukua treble, ukisema Arteta mjuaji, ofcoz ni mjuaji sababu kweli anajua.
 
Yaani imagine ndani ya hii miaka mitatu ,Westham wameleta trophy ya conference league London , crystal palace wameleta FA London , wagumba wenzenu wa makombe Tottenham wamekata ugumba wa makombe mwaka huu kwa kuleta Europa league London ,Sisi Baba Lao ndio usiseme kabisa , Hivi nyinyi panya huku na madaso yenu mekundu hayo hamuoni aibu , ? Miaka yote hii mnatia aibu tu ?
 
Leten Leteni 65 hiyo ,ikichelewa bei inapanda mpaka 85 , πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† straika machachari kama Wakojacko ni adimu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…