Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Madueke πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„

Arteta apewe PhD ya kuokoteza mazaga kutoka kwa kenge !

Garasa, mmetoa hela kichele ! Yule ni squad player, ingesaund walau kwa Β£25-32m tu ! Sio hizo Β£50m +adds on !


Nackia tangia Arteta atue hapo, ameshaspend zaidi ya Β£130m kwa kuokoteza rejects za kenge
 
 
Acha roho mbaya utoi ela yako mfukoni
 

Nyie hamjatumia zaidi ya 500m kwa Brighton?
 
Sasa mchezaji hajacheza hata mechi moja ya Arsenal unamwita Galasa??, angekua galasa angewasaidia chelsea kubeba makombe mawili. Kwanza chelsea wamefanya fear kbs, winga teleza ile ilitakiwa auzwe Β£100m.
 
Huyu mwamba dudukwe yuko vizuriii
 
Halafu mara nyingi wachezaji wanaosemwa sana hivi ndio wanakuja kuwaprove wrong. Nawashauri mashabiki wa Arsenal mpeni muda Madueke msimpe presha kubwa anakuja kuwasaidia. Madueke ana kitu nadhani Arteta afanye kazi ya kumpunguzia presha tu atatoa output ambayo wengi hamtaitegemea.
 
Mashabiki wa arsenyeto bhana πŸ˜‚

Chelsea unaiita Kenge afu hapo tuna conference na kombe la dunia afu nyie mmemaliza nafasi ya pili ila patupu πŸ˜‚ yn mnashindwa kimafanikio na timu iliyomaliza nafasi ya 16 huko ina Europe πŸ˜‚

Sasa umuhimu wa kumaliza nafasi ya pili iko wapi wakati kuna timu ipo nafasi ya 16 bado kidogo kushuka daraja lkn ina kombe kikubwa Ulaya πŸ˜‚

Nyie wapuuzi endeleeni kujipa matumaini kila msimu kuwa mtaambulia kitu, ila Madueke yupo labla mtaambulia hata Karabao mana Madueke ni winga teleza ana medali ya kombe la dunia ambayo hapo Arsenali ni medali mpya tangu club kuumbwa πŸ˜‚ naskia arteta na Saka walikuwa wanaililia walale nayo πŸ˜‚
 
Mikel Arteta: "Noni Yamal Madueke, one of the most talented wide forward players in the Premier League, it's clear".

"At just 23, Noni brings here experience of club... and international football. Having seen the quality of Noni performances up close, we are all really excited".

Sasa kama Tetea Kiwigi mwenyewe kasema mashabiki wote wa Arsenyashi wamefurahi kwa kuuona ubora wa uchezaji wa Madueke na kusajiliwa kwenye timu yao mimi ni nani nipinge?

#Tetea mitano tena.
 
Tatizo la arteta mjuaji sana anajikuta tayari Guardiola yaani too many unnecesary experiments. Usishangae hata akamuweka LB au CAM!!
 
Unaupiga nondo za maana Kama vile Humphrey Pole pole
 
Madueke ni mchezaji wa aina ya kina sterling wanashida kwenye attitude na consistency wachezaji wa namna hii ngumu kufanikiwa game moja anakupa A" unasema huyu Messi mtupu next game unajiuliza huyu ndio yeye au pacha wake
 
Nyie hamjatumia zaidi ya 500m kwa Brighton?
Sasa kama mchezaji anakuja Chelsea ndani ya wiki mbili ana kombe la dunia kwann tushindww kulipa pesa zote hizo?

Yn ndani ya wiki mbili tayari Pedro ana carrier ya miaka 10 ya wachezaji wote hapo arsenyetos

Pedro ndani ya wiki mbili ana mafanikio kuliko nyumbu na arsenyeto wote kwa pamoja πŸ˜‚
 
Upinzani upi ulianza miaka? nyie wa juzi au umesahau recently mmetuletea takwimu kwamba mnaongoza kwa makombe karne ya 21? kwenye game tupo long time since the days of Chapman & Graham, ukitaka tuongee upinzani usichague miaka, kipindi chapman analeta WM timu yako ilikuwa wapi? that's a rivalry
 
Chelsea hasa kwa miaka yangu ilikuwa ni timu ya watu wa vijijini, vijana walipokuwa wanakuja mjini hasa kimasomo ndio first time walikutana na EPL, hapa walikuta chelsea ikiwa na Obi Mikel, Michael Essien, Didier drogba n.k. kulikuwa na rundo la waafrika waliyowavutia waafrika wa huku kwetu kwa kudhani ni timu nyingine ya Afrika iliyopo EPL, ku Compare ukubwa wa Arsenal na Chelsea sababu ya makombe ya ulaya kwa wanaojua hili game unaonekana mshamba.

when you talk about Arsenal, You talk about Beautiful football, Class, Culture, values and arts.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…