makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Nitake radhi, sijawahi mkubali huyu ndege john mimi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilichogundua mashabiki wengi wa Arsenyashi wanam-underrate Madueke kwa vile tu Masingeli amelikimbia hili jukwaa.
Nina uhakika hamis77 angekuwepo humu angempamba Madueke kama vile alivyompamba Harvez na misukule yote ikaingia kwenye mfumo wa kusifu na kuabudu.
Sema lile jamaa lilikua linajua sana kushawishi, halafu lilikua linawachukulia mashabiki wa Arsenyo kama matakor yake.
Hizi hapa chini ni nukuu zake kuhusu Kai:
"Kai ni mzuri kwenye aerial duel, Kai ni mnyumbulifu, Kai ni king of pressing Epl.
Nketiah sio presser Kama Kai ,huwezi kutaja wachezaji wanaojua ku press EPL watano ukamuacha Kai havertz."
View attachment 3401954
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kabisa aiseee Madueke ni mtu na nusu.Madueke mbona ni mtu sana tu
Madueke ana skills, sharpshooter, runner, versatile so timu kama nyumbu, kenge,.. atakua anazima fresh tu
Eze na Gyokeres hizi ndio funga kazi tunazo zisubiri
Madueke n squad player, anakuja kumpa challenge martinel au anakula bench (mchezaji wa sub)[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kabisa aiseee Madueke ni mtu na nusu.
Huyo Maduduke mmoja ni sawa na Desire Doue watano, Barcola wanne, Rodryigo watatu na Yamal wawili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli kabisa Arsenyashi mmepindua meza, sasa hivi timu lenu ndio limekua tajiri kwa kusajili takataka za kukaa benchi kwa £50m halafu Nyumbu unaenda mwezi wa 3 huu wanashindwa kutoa £65m kumsajili Super Striker Bryan Mbeumo.Madueke n squad player, anakuja kumpa challenge martinel au anakula bench (mchezaji wa sub)
Msimu huu tuna jambo letu, mchezaji wa sub tunamchukua kwa €52m. Nyumbu hamuogopi?
Tatizo ni brandSijawahi ona mchezaji anaing'ang'ania timu kama KUPE kama huyo boya gyokeresi sijui ...mchukueni aisee..huyo anaweza hata kumuweka mama yake kwenye swap deal ili aje kwenu...
Nyumbu, kenge mmejiandaaje na hii hatari inayokuja siku za mbeleni?Viktor Gyökeres: “I only think about scoring and winning. It changes everything”.
“Premier League? I spent several years there without being able to play a single match. So, of course, it's something I'd like to do”.
“It would be great revenge!”, told L’Équipé.
View attachment 3403067
HAhahaahahahaha mwamba una wehu sanaa.Sijawahi ona mchezaji anaing'ang'ania timu kama KUPE kama huyo boya gyokeresi sijui ...mchukueni aisee..huyo anaweza hata kumuweka mama yake kwenye swap deal ili aje kwenu...
Nunueni wachezaji dunia nzima ila tukikutana na nyny kama kawaida yetu....ni kuwafumua....bdo tumebakisha wachezaji wawili...Eze na Gyokeres....😅😅😅😅😅😅, kwamba hujui Arsenyani ni chaka la Chelsea kuoffload takataka zake ? Mithili ya Jalala ?
Kuna mchezo viongozi wa Arsenal na Chelsea wanaucheza. Haiwezekani huu ni umaku kabisa£52m Noni Madueke to Arsenal confirmed.. Ridiculous signing, contrary to what we need.. Chelsea are the best in business.. He is ours now, we need to support him.
Sahihi kabisaShida ndugu kwenye hizi nyuzi za timu kuna watu huwa wanajioan wao ndio wana haii yakusifia na kukosoa wengine hapa.
Yaan wao wanajiona ndio Arsenal haswaa kumbe mafi matupu.
Mimi nilikuwa namkubali sana Arteta na hata alipochaguliwa kuwa kocha nilifurahi.Ila kwa nilioyaona hii misimu mi3 tuliyokosa kombe ni uzembe wake sio wa Kroenke kama tulivyokuwa tunawalaumu.
Halafu kimtu badala kije kujadili hoja iliyoletwa kanakuja kujadili taarabu nauhakika hata miaka 26 hana huyo.
Arsenal chini ya Arteta labda iniprove wrong ila sina imani nae.Wale Kroenke family wakitaka heshima wampetpet yule Luis Enrique aje.
Ukiiangalia Psg inavyocheza unauona uwezo wa kocha pale halafu ndio unauona uwezo wa wachezaji.
Ukiiangalia Arsenal inavyocheza unaona uwezo wa wachezaji halafu uwezo wa kocha ndio unafata.
Toa Van Persie hapo, akakae kwa Manyumbu hukoWachezaji wangu bora kuwahi kucheza Arsenal, Top 5.
Thiery Henry
Dennis Bergkamp
Alexis Sanchez
Robin Van persie
Cecs Fabregas
Bonus
Partrick Viera
Pierre Emerick Aubameyang
Mesut Ozil
Theo Walcott
Bukayo Saka
William Saliba
I stand to be corrected.
Wachezaji wangu bora kuwahi kucheza Arsenal, Top 10.
Thiery Henry
Dennis Bergkamp
Patrick Viera
Alexis Sanchez
Robin Van persie
Cecs Fabregas
Pierre Emerick Aubameyang
Mesut Ozil
Theo Walcott
Bukayo Saka
Bonus
William Saliba & Declan Rice
I stand to be corrected.
Madueke n squad player, anakuja kumpa challenge martinel au anakula bench (mchezaji wa sub)
Msimu huu tuna jambo letu, mchezaji wa sub tunamchukua kwa €52m. Nyumbu hamuogopi?