Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal aliyekufa nje ndani
 
Of course odds zinambeba zaidi PSG na mashabiki wengi tunaamini Chelsea hana chake kwa PSG, Lakini Chelsea hizi European trophies alizonazo huwa anazichukua kipindi yupo hovyo vibaya. Lolote linaweza kutokea
Kusema Chelsea iko ovyo sana nakupinga Sasa hivi wapo kwenye wakati mzuri wamechukua conference cup kwa kutoa kipigo kikali kwa Real Betis ambayo huwa inazisumbua Barca na Madrid, Wameingia big 4 na katika mechi zake 14 za mwisho wamepoteza mechi 1 tu unawezaje kusema wako ovyo ? Yaani in short project yao imeanza kuwalipa
 
EZE:

Nimesikia:

1. Wamiliki wa Crystal Palace pia ni wamiliki wa Lyon. Lyon ilishushwa kwenda Ligue 2 ila imeshinda appeal yake na kurejeshwa Ligue 1.

2. Lyon ilisema kama itashushwa Ligue 2, basi itaiachia nafasi yake ya kushiriki Europa ila sasa kwa kuwa imerejeshwa Ligue 1, basi itashiriki Europa. Hili huenda likawa tatizo kwa Palace, kwa sababu sheria za UEFA hazitaki kuruhusu timu za mmiliki mmoja kucheza kweye shindano moja.

3. Palace kama mabingwa wa FA Cup, wamefaulu kushiriki Europa, ila ndiyo hivyo sasa sheria hii inawapa changamoto.

Kama Palace ikinyimwa kushiriki Europa, je itakuwa rahisi zaidi kwetu kumpata Eze kwa sababu yeye atatamani kucheza UCL kabla umri haujaenda sana na pia Palace huenda wakahitaji pesa tutakazowapa kuendesha timu yao maana watakosa pesa nyingi kwa kuwa nje ya mashindano ya Ulaya?
 
Eze
Huyo hawezi kusikilizia EUROPA ili aje arsenal. Kina interview alifanyiwa baada ya kuitwa national team, alisema alikuwa kwenye depression kubwa alipo achwa na academy.

Hata baada ya muda kupita, alipomuona kocha wake wa academy alianza kulia tena

Huyu tukiwa serious kidogo tu tunampata. Nashangaa seriousness inapelekwa kwa Madueke
 
Β£52m Noni Madueke to Arsenal confirmed.. Ridiculous signing, contrary to what we need.. Chelsea are the best in business.. He is ours now, we need to support him.
 

Sina shida na usajili wa Madueke, potential anayo. Shida ada yake M50+. Ninahisi kama Kuna mchezo wa siri unafanyika. Huyu hakutakiwa kuzidi M20 imeenda sana M25
Usajili wa Gyokeres upo njia panda.
Usajili wa Olivia Smith nauunga mkono. Yule dada ni fighter, lakini wangemleta Vicky Lopez ningefurahi zaidi ingawaje najua hayupo kwenye mipango yao. Muangalie leo, najua ataanza
 

Sina shida na usajili wa Madueke, potential anayo. Shida ada yake M50+. Ninahisi kama Kuna mchezo wa siri unafanyika. Huyu hakutakiwa kuzidi M20 imeenda sana M25
Usajili wa Gyokeres upo mjia panda.
Usajili wa Olivia Smith nauunga mkono. Yule dada ni fighter, lakini wangemleta Vicky Lopez ningefurahi zaidi ingawaje najua hayupo kwenye mipango yao. Muangalie leo, najua ataanza
 
Sidhani kama tuna mpango wa kumchukua Noni kiukweli mpaka sasa. Tutakuwa tunacheza hangaisha bwege na watu halafu tunachukua mchezaji mzuri ambaye hakuna mtu anajua tunaongea nae mpaka msikie tu tumeshamsajili. Kama tulivyofanya na dili la Norgaard.
Package in excess of Β£50m with add-ons included.

Mashabiki wa Chelsea wanasema asante arsenyo mungu awabariki mumalize nafasi ya pilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…