Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Ana magoal 7 kazidiwa na Kai magoal 3Kwani Noni ana magoli mangapi?
Huyu sielewi anachokuja kufanya Arsenal, yaani sielewi kbsa.
Mimi namkubali Martinelli. Asiuzwe. Uza Trossard, Lokonga, Vieira, Zinchenko, Jesus, Nelson...Martinelli,Vieira,na Nelson wauzwe ipatikane hela ya kumsaji Eze ama Rodrygo
Trosard, zinchenko wabaki bhanaMimi namkubali Martinelli. Asiuzwe. Uza Trossard, Lokonga, Vieira, Zinchenko, Jesus, Nelson...
Kama Martinelli anabaki piaTrosard, zinchenko wabaki bhana
Sina tatizo na martineli, trosard aki tokea sub mna jua shughuli yake.Kama Martinelli anabaki pia
Yaani nikiambiwa nichague mmoja, mimi ni team Martinelli.Sina tatizo na martineli, trosard aki tokea sub mna jua shughuli yake.
Nyie fanyeni hesabu zenu vizuri, mkiamua uzeni wote au mbaki nao wote. Muhimu msiache kumnunua Madueke atawasaidia sana. ana speed ana kasi anajua kufosii, hamtojutia.Yaani nikiambiwa nichague mmoja, mimi ni team Martinelli.
Salah, chelsea alifeli,Sio kufeli kwani kipindi fabregas yupo Barca akawa hapati namba ya mara kwa mara kwani alikuwa mmbaya au ni kwasababu nafasi alikuwa anacheza ilikuwa ni ngumu kupata namba baada ya kuamia Chelsea akawa top assist. Kukosa namba sehemu Kuna sababu kuu mbili moja ni kusidiwa uwezo, mbili preference ya kocha kulingana na mfumo wake
ASAVALI... 😂🤣
Halafu mastaa wengi wana feli sehemu Moja, wana Waka kwingine.Salah, chelsea alifeli,
Swali dogo tu angekuwa na moto ule wa Roma tu ama huu wa liverpool, nani angemuweka benchi!?
Hakuwa na kiwango bora hichi ..