Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kabla ya msimu kuanza mnakuwa na matumaini mengi kama haya ila ikifika ligi imeanza ssa nyie hao hao maanza kupiga makelele Arsenal ni ile ile hata aje nani ubingwa wenu ni kushika namba 2 ndio kombe lenu viande nyie
 
stats zake ni kuwa ktk msimu mzima aliocheza Brighton hakupata hata nafasi ya kuingia sub
Alipokuwa championship misimu minne aliyochezea Swansea na coventry city katika mechi 91 aliishia kufunga magoli 38,hapo kuna takwimu gani nzuri?
 
Bajeti inakataa
 
stats zake ni kuwa ktk msimu mzima aliocheza Brighton hakupata hata nafasi ya kuingia sub
Alipokuwa championship misimu minne aliyochezea Swansea na coventry city katika mechi 91 aliishia kufunga magoli 38,hapo kuna takwimu gani nzuri?
Wachezaji wanabadilika, wanakua, viwango vinaoanda, viwango vinashuka pia..
Hakunaga usajili wa uhakika ni kubet tu.
Mwalimu anamchukua mchezaji kwa vile anavyoona anaweza mtumia..
Style of play ya mchezaji ndio mwalimu anaona huyu ananifaa ama lah!!
Subiri tuone.
 
Anyway wacha tuone mchezaji wa farmers league kutamba EPL
kumbuka nunez alipokuwa benfica na alipohamia liverpool
 
Halafu goli 38 kwenye mechi 91 epl sio mbaya, firmino drogba hakuna aliye vuka hata goli 37 Kwenye mechi 90 zao za kwanza.
 
stats zake ni kuwa ktk msimu mzima aliocheza Brighton hakupata hata nafasi ya kuingia sub
Alipokuwa championship misimu minne aliyochezea Swansea na coventry city katika mechi 91 aliishia kufunga magoli 38,hapo kuna takwimu gani nzuri?
Jamaa kacheza Bundes Liga daraja la 2 akafunga magoli 7.

Kisha akaenda Championship.

Akafunga magoli 3, akaja 17 kisha akaja 21.

Akatoka Championship akaenda ligi kuu Ureno.

The rest is history.

Hata hesabu uliyosema kwamba alikua Championship misimu minne siyo kweli. Alikaa misimu 3 championship na magoli siyo 38.

Kama uliwahi kuona Arsenal tunamtaka Ivan Toney au Watkins jua wazi tulikua tunataka STs ambao walishazunguka sana Championship.

Sesko kafunga magoli 13 tu ya Bundes Liga na anaogopa kushindana na Kai, kisha una mtu anayekubali apunguziwe mshahara ili aje hapo kwenu. Una Merino na Kai ambao mmoja alipotokea alikua hascore ghafla wanascore kisha unamhofia Viktor?

Aliyecheza for 89 minutes akamburuza Kiwior aliyecheza for two minutes?
 
 
Hakunaga garantii kwenye usajili.
Salah alifeli Chelsea, akazunguka huko akaja na umoto wake liverpool ,sanchez wa moto arsenal akafeli madrid, di maria wa moto madrid akafeli.
Nakusahihisha Salah hakufeli Chelsea Bali alikosa namba kwasababu kwenye nafasi yake alikuwa anacheza Willian alikuwa wamoto sana ndio maana hakawa hapati nafasi ya mara kwa mara.Ukisema kufeli maana nikushindwa kudeliver but kwa Salah pamoja nakuwa mara nyingi anaingia sub but huwa ana deliver kizuizi kwake ilikuwa namba anayocheza anacheza Willian
 
unapo m-platform mchezaji kabla ya yote unaangalia profile yake ni nini anaweza kufanya, magoli ni jambo la mwisho, ingekuwa magoli ndio sifa basi Merino ana namba nzuri tu
 
Nilijua tu Maktaba kuu Flano akiiona tu hii post lazima atakuja na maneno mengi.
 
Sasa JF ilivyo na maajabu sababu watu wana ac zaidi ya moja, inawezekana unayemsifu ndiye unayemponda. Hapo ndio watu nyuma ya pazia wanakuona huna akili mbwatukaji, km wewe bwana flano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…